Mkuu tumekua tunarushiana tambo sn karibu kila siku kwahiyo baadhi ya vitu sio kuweka ligi...unawakubalia tu uone watasemaje...maana lengo letu kuu ni kua bingwa Na sio kumfunga Man U au Gunners au LFC kitu ambacho ni tofauti kimtazamo Na hizi timu zingine......wanaona kuifunga Chelsea ni fahari kwao.
Game yetu Na QPR ilikua muhimu sn na imekamilisha mahesabu ya kutwaa ndoo.
Hii michezo mikubwa ni kulinda heshima ya timu tu lkn ndoo hiyo lazima itue darajani...
Leo hatupotezi Mkuu. Na tunakwenda kuonyesha ulimwengu kua sisi ni timu bora sn...pamoja Na kua timu yetu ndio inaongoza kwa kushambuliwa ktk mitandao na blogs hata hapa Jf pia kwasababu hawapendi kutuona tunaongoza ligi tangu mwanzo Wa msimu mpk Leo....lkn ukweli utaonekana uwanjani Leo kwamba sisi ni bora....
speak honestly , vipi tutashinda mkuu.