everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Hahahahahah.. We hutaki mpendwa!? Wangeingia tu wote si wanajua mama!!
Napenda sana my dear lakini ni vizuri na wengine wapewe nafasi ....
Hahahahahah.. We hutaki mpendwa!? Wangeingia tu wote si wanajua mama!!
Hapana everlenk sio wote waingie ila yule anaestahili ndo awepo...
My dear wanaostahili kuwepo ni wengi sana wapi kina Aguero, Silva,Schneider, Mata n.k kwanini hawajakuwepo? Fab yuko njema ila kwa mchango wa kuisaidia timu Cou kwa LFC anasaidia jamani acheni, Kama sisi vile wala hatubishani kwa jinsi De Gea anavyoisaidia timu na hasa kipind ambacho tulikuwa dhaifu kama si yeye ungekuta tuko mtaa wa 10, ashukuriwe Mungu hizi mechi 3 angalau hakuwa na majukumu mazito sana.
Ni kweli mama nakubaliana na wewe kabisa wanaostahili ni wengi kabisa, lakini katika hao wanaostahili Coutinho yuko mbali sana kwenye hizo rank, Mfano hapo angekuwepo Silva au Aguero au Herrera, isingekuwa mbaya maana almost wapo kwenye nafasi sawa.....Coutinho anafaa sana kuwepo kwenye PFA young player, is sio za wakubwa
Kama ni mchango kwenye timu ndo tunaangalia Mchango wa Coutinho haufikii hata wa Hugo Lloris anaoutoa pale Spurs
hii mechi ndo tutajichukulia point
Mimi ni shabiki wa Chelsea but coutinho mpira anaufaham sana but the problem ni kwamba coutinho anachezea team ya kiwango cha chini ( Liverpool) lakini kama angekua anachezea team ambayo ipo kwwnye form nzuri kama Chelsea, Asenal au man u hapo ndio mgejua kua huyu coutinho ni moja ya wachezaji wenye vipaji hapa duniani, lakini yote sawa lakini coutinho ni mchezaji ambae ata mimi ananivutia sana kumuangalia akicheza uwanjani so mi naona coutinho kua nominated kwenye pfa player of the year ni sawa kabisa
Wapi wanangu wa Darajani
cc kunguru mjanja Mentor Ntuzu na wengine... Hata kama wewe mpinzani kama Eli79 everlenk n.k
Angalia wanaume kazini
View attachment 244377
Mdogo wetu Zouma "cheusi dawa".. Yuko gym anatengeneza physical fitness.. Kesho ni hatari hapo kati.
View attachment 244378
Kimbiza kimbiza Eden Hazard... Chelsea wanaume tupo fiti... Leta hao Mashetani.. Watajuta kuingia nyumba ya Mwendawazimu.
View attachment 244379
Maana halisi ya Holding midfielder ktk EPL kwa sasa... Wakamue wakamue hao mashetani.
View attachment 244383 Mentor Full back bora umemuona watapita wapi hao mashetani.!? Yupo na mwanetu Cuadrado
View attachment 244386
Utamwambia nini... Branna... Mwanaume kazini... Waulize QPR wanamjua

Amsha amsha vijana jiwekeni sawa kesho mnakutana na wanaume wa kaz, yao moja tu kunywa damu yenu kisha tunamwachia yule docta wenu mrembo kazi ya kuwauguza.....
Amsha amsha vijana jiwekeni sawa kesho mnakutana na wanaume wa kaz, yao moja tu kunywa damu yenu kisha tunamwachia yule docta wenu mrembo kazi ya kuwauguza.....
Yule docta, acha tu sijui anawatibu wachezaji kwa kuwapa nini, Costa walisema ataweza kucheza game nne za mwisho leo Mourinho anasema anaweza kucheza ya Arsenal...