Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaha mazoezi nafanya mwenzio na ukiniona hutaamin lol

The professional PFA Player and young player yupo kamili gado kuwaonyesha yeye ni mkali kuliko Courtious........

Safiiii... Ukinifunga nakupa zawadi nyingne, tena ya mazoezi... Tunapiga mbio mpaka msataaaa.
Courtois ni habari nyingne.. Hawezi fanana na huyo beki bora.. 😀😀
 
Worry out. Chelsea fans twende viwanjani kwetu kwa furaha maana ushundi ni dhahiri. Man weshaanza kunyeanyea ooh sijui huyu majeruhi na huyu pia. Haijalishi kama ni psychological game au la. Kupigo kinawahusu tu...
 
Hahaha!! Nimelala salama bana na nikapata maono kwamba tumewachapa 2-1.

Ha ha ha ha ha, haya sio maono Bali nahisi mawazo ndo umewaza mpaka Ukiwa unalala, basi na ukaota hivyo hivyo......usiwaze sana hata nikikufunga sio mengi ni kidogo tu. Si unajua sio vizuri dent kumwaibisha mwalimu ila kuonyesha Kwamba anajua ni muhimu.
 
Hahahaha!! Sikio halizidi kichwa ndugu yangu.......
 
Carrick,Blind,Jones....hapo tayari hatuna holding midfielder
Visingizio alivyovianza kocha wa man u mmeshaanza kuvipigia chapuo tulieni tu kichapo hakiepukiki! Kwani man u ndio timu pekee iliyopata majeruhi msimu huu?
 
-hata sijui nishabiki timu gani kati ya Chelsea au Man U!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom