Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,912
- 11,324
Baelezeeeee.....
Hauwezi kwepa JAMBIA kesho kwa kiwango kibovu mlicho kionyesha hizi games 4 za mwisho

Mkuu game ya Manchester United na Chelsea we iache tu, maana hata kama mmoja alikuwa mbovu kiasi gani kwenye hii game atakuwa mzuri tu....
Game ya kesho watu watakuwa wanacheza mpira kwa nguvu na wa tahadhari sana.....
Nimekubali kufungwa michezo mitatu mikubwa yote Na mi4 iliyobaki yote ntashinda na nitakua Na points85 ambazo ManU Na Arsenal hawatafikisha ata km watashinda michezo yote Zaidi watapata point 84 Na 83.....
Mi ni bingwa tu ata nyie mnifunge goli 100.

Stoke na QPR umepata mabao refa ana angalia watch yake amalize soka tena mkitegemea makipa wa team hizo wakosee
Sasa hizo team ndogo utakazo zifunga ni zipi?
Malafyale una mzungumzia Kinda wetu!?? Unamjua au unamsikia tu!?? Hivi unajua huyu ni hatari zaidi Falcao... Ni hatari zaidi ya unavofikiria..Ulipata sare ulipokuwa kwenye kiwango chako cha juu mno
Striker wako kesho ni Drogba ujue na miaka yake 46 ehehehehe
Natabiri 0-0, 1-1, 2-2, 3-3,.....katika mlolongo huo. Nawe toa utabiri wako ukiwa kama mnazi wa darajani!!!!
Ulipata sare ulipokuwa kwenye kiwango chako cha juu mno
Striker wako kesho ni Drogba ujue na miaka yake 46 ehehehehe
ManU Na Arsenal Na LFC wote wanifunge lkn ubingwa uko pale pale ata km mtashinda michezo yote6 iliyobaki lkn kuvuka point 84 hamuwezi....
Tafuteni heshima tu kwa kuifunga Chelsea lkn sio kuchukua ndoo.
uwepo wa mourinho kwny bench ni ushindi tosha....huyu jamaa ni hatari sana kwa mechi kama hii ya jmos....
Stoke na QPR umepata mabao refa ana angalia watch yake amalize soka tena mkitegemea makipa wa team hizo wakosee
Sasa hizo team ndogo utakazo zifunga ni zipi?
Kutafuta heshima wanataka lakini swali ni; je wataweza?
Wa kufunga hizo 3 upande wenu ni Drogba?Ehehehehehe