Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kuna watu walisema humu oooh Dgobda hayupo itakuwa catastrophic kwa Chelsea...kiko wapivijana wanatupa raha tu

Leo hata hawaonekani kuthibitisha kauli zao huenda wanasubiri mambo yaende kombo ndo waje hapa.
 
Ballack makes it 5-0....kama thread yetu inavyosomeka hapo juu, lakini mwaka huu Anelka hajapiga hat-trick, anyway muda bado hupo tusubiri tuone!
 
So far Man U bado kagandwa na Burnely (0-0). Hii ndo opportunity ya kuwapiga gap!
 
_47124194_anelka_getty.jpg
 
Khe khe khe naona mmekurupuka sasa ngoja niwasome niwajibu si mlikuwa mmejificha?.
 
Wacha nivute Teachers hapa nianze ku-enjoy. Sitaki kuamini wataturudishia idadi hii ya magoli

Enjoy to the maximum mkuu, hata mimi nilikuwa sina mpango wa kutoka leo lakini naona itabidi niende kujipongeza with some fews pints and mojito!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom