Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Last edited by a moderator:
Kulikoni leo mmeamka na maneno ya kukata tamaa? Aiseee yaani mnatabir kushindwa!!!!!!

Japokuwa leo nina mechi ngumu sana lakini nina imani na facts zaniruhusu kushinda kabisaa.

Nimepita niwasalimu, muwe na wakati mwema.

Kila mmoja yuko huru kutoa maoni Yake. Tumemuuliza ligera ni kwanini aseme hivo mpk sasaivi yuko kimya ngoja tumsubiri aje atuambie!

Mchezo wetu ndio utakua Wa kwanza leo ...tunawapiga hawa watoto vzr tu.
 
Last edited by a moderator:
Kila mmoja yuko huru kutoa maoni Yake. Tumemuuliza ligera ni kwanini aseme hivo mpk sasaivi yuko kimya ngoja tumsubiri aje atuambie!

Mchezo wetu ndio utakua Wa kwanza leo ...tunawapiga hawa watoto vzr tu.

Kila la heri
 
Last edited by a moderator:
unajua sometimes ukisema ukweli watu wanakuona arrogant au proud au sijui nini. lkn ukweli mmoja ulio wazi kwa kila mtu anyefuatilia EPL ni kuwa kama kuna timu ambayo haiiogopi timu yoyote ni Chelsea. wengine wote watafanya reference to mechi zao na Chelsea. Chelsea haina reference point hata moja. hata kwa ile michezo michache tuliyopoteza sio kwamba tutakuwa tunaitazama kama tumefungwa na timu ambayo tunaiogopa. ni kwamba tumefungwa tu kwa vile ndio mchezo wa mpira.

sasa nenda kwa babu Wenger. muulize akueleze ni timu gani inayomnyima usingizi...of course ni Chelsea. na hilo dunia nzima inalijua. uliwaona Man U walivyoshangilia waliposawazisha goli tulipocheza nao kwao? yani unaona watu wanavyoshukuru kupatikana kwa hilo goli. lkn je sisi inakuwaje? ushaiona Chelsea inashangilia goli la kusawazisha kama van Persie alivyoshangilia siku ile? kwetu sisi ile draw ilikuwa ni kama kufungwa!!

so no wonder hata hii michezo na nyie Man U, Arsenal na Liverpool ni michezo tu ya kawaida sana kwetu. yani kwa kwetu sisi tunaweza kuwa na mashaka tukciheza na QPR, Leicester kuliko tuchezapo nanyi. Hbr ndo hiyo, japo kwenu na wale wenzenu wengine ni chungu....!

Mkuu Manumbu kauli zako hizi zinaongezwa uzito na article hii hapa ya Jose Mourinho.


QPR vs Chelsea: Jose Mourinho - 'I don’t want to think about losing the Premier League title'

Jose Mourinho claims Chelsea have learned from blowing the title run-in last season, and hinted the lessons from that may have been behind his determination to build up a healthy early lead in this campaign. The Portuguese said he is greatly enjoying the “isolated” position Chelsea are in at the top, that means they have no dependence on other results.

Mourinho’s side were last year in a much tighter race and paid for an inability to break down weaker sides, as they lost 2-1 at home to Sunderland and also drew 0-0 with Norwich City at Stamford Bridge. Mourinho referenced that defeat to Sunderland, which ensured the title was no longer in Chelsea’s own hands. Fabio Borini scored a controversial late penalty to seal victory for the away side in what was Mourinho’s first league defeat at The Bridge. Now, even if they lose at QPR today, Chelsea would still have a cushion.

“Don’t make me remember the game against Sunderland because that was the game which stopped us fighting for the title,” Mourinho said, referencing the contentious refereeing decisions.



“What happened against Sunderland is something we cannot control. We don’t want to think about it. Last season we were depending on others. We needed this team to lose a couple of points here, a couple of points there. This situation is different. Everybody learns with experiences. If you leave the experiences, you don’t reflect and catch the opportunities to try to be better and stronger, it’s a big mistake.”

Asked whether his players now expected to win the title, Mourinho said the important issue was to just concentrate on their own job – which is facilitated by a formidable lead.

“We spoke about it. We don’t want to be influenced by anything. And we are in a position where we can be isolated of everything. We don’t have to be watching [Manchester] City against Man United. We don’t have to be waiting for what they are going to do. We are in a situation where I think it’s good. We just think about ourselves. I know that Man United play Man City and Arsenal play at Burnley, but I know the same way I know that Tottenham plays Aston Villa and Fulham plays against Wigan. I know because I know, not because I’m worried. That creates a very good situation for us as we just think about ourselves.

“We have a game on Sunday. We know the opponent. We know the players. We know the stadium. We know everything. We know it will be difficult but we just focus on that. When QPR match finishes, then we think about what next. I like this situation about being isolated of everything. It’s just us.”

Mourinho also claimed that the current Premier League is “more difficult now than ever” to win. “It’s my fifth or sixth Premier League that I play. It is more difficult than ever.”
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Karibu sn Nonda....leo tutakua kwao QPR ktk kukamilisha safari yetu ya kuchukua kombe...

Naomba uendelee kuwepo ata km tutashinda....sio usubiri tufungwe au tupate sare basi uje uanze kufanya sherehe....tuwe pamoja ktk shida na raha ebabaaa Nonda,

Asante.

Mlisema mnataka ndoo.. na Nilishazungumza na wajamaa kule Segerea wazitayarishe ndoo 3. Mnataka ndoo 4 au uchumi hauruhusu tena kujichukulia ndoo 4?

Wa-Segerea wametoa offer ya kuwapa ndoo 3 bila "mapesa" ya Cheyo.
 
Mlisema mnataka ndoo.. na Nilishazungumza na wajamaa kule Segerea wazitayarishe ndoo 3. Mnataka ndoo 4 au uchumi hauruhusu tena kujichukulia ndoo 4?

Wa-Segerea wametoa offer ya kuwapa ndoo 3 bila "mapesa" ya Cheyo.

Hahahaaa Nonda bhana.....tayari tumeshapata ndoo moja ni zaidi ya mwezi sasa tangu tupate hiyo ndoo....na ya pili tutachukua hivi karibuni....hizo ndoo za segerea au ukonga wapelekee gunners pale jirani zetu... Eli79 usipitw huku bhana ukapaona hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa Nonda bhana.....tayari tumeshapata ndoo moja ni zaidi ya mwezi sasa tangu tupate hiyo ndoo....na ya pili tutachukua hivi karibuni....hizo ndoo za segerea au ukonga wapelekee gunners pale jirani zetu... Eli79 usipitw huku bhana ukapaona hapa.

Umesahau ya msimo uliopita?

Yanajirudia, kama mgao wa umeme wa Tanesco.
 
Wanakujaaaaa babake... Wanaume kazini
 

Attachments

  • 1428837566433.jpg
    1428837566433.jpg
    24.8 KB · Views: 103

Similar Discussions

Back
Top Bottom