Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaha!!! Watakapokuja kurusha mawe mimi simoooo!! !!!Eeeh na sisi unatutabiria nini???😎😎
wakirusha mawe shauri yao...hayo huwa hayanigusi wala hayanishituagi. kuchukua ubingwa kunataka discipline kubwa sana, na sio bahati bahati au utoto utoto. ukitazama mabingwa wa EPL wamekuwa na tabia inayofanana. zitazame man u, city, chelsea na hata ile Arsenal ya wakati ule. kuna aina ya discipline ambayo you can easily tell hii ni timu bingwa. uchezaji wa waina hiyo am sorry to say kwa sasa haupo Arsenal. Man U mnaelekea lkn nadhani next year ndo ntaweza ona itawachukua muda gani kuchukua ubingwa. ile discipline ya kiubingwa bado haijajengeka hapo kwenu bado.
 
Haya sasa mawe yameanza Manumbu jipange......

everlenk yani hawa jamaa wana 'kiranga' sijawahi ona. Check sasa Manumbu anaanza kuwa mtabiri hata kwa timu zingine. Hapo alipo anaweweseka kuona form nzuri ya the gooners na nyie MANURE. Hata haelewi tena woga umemshika...
 
Last edited by a moderator:
Huo utabiri umeachiwa na yule sheikh maarufu au na wewe una kakipaji kako??

kaka hiki wala si kipaji wala ushehe. ni ukweli tu kwa kuangalia mpira na evolution za timu na watu. kwa performance ya Arsenal na ya meneja wake, hakuna uwezekano wa kuchukua ubingwa EPL wala Champions League. makombe mengine Arsenal inaweza chukua lkn sio hayo mawili....no no no!!!
 
Hahaha. Ntuzu yote hayo ni woga tu, hali si shwari kabisa darajani. Timu haichezi vizuri, sasa mnatumia tricks za nje ya uwanja kushinda mechi.

ubingwa hauchukuliwi kwa kucheza vizuri ndg. hakuna kitu kama hicho. ubingwa unachukuliwa kwa kucheza kama bingwa, focused and determined and kupata ushindi. ni points 3 leo kesho na kesho kutwa ndio zikupazo ubingwa na sio kucheza mpira mzuri. hivyo ni vitu tofauti kabisa. mpira mzuri unavuta mashabiki, kuelimisha mpira wasioujua nk,lkn sio kukupa makombe/ubingwa
 
Last edited by a moderator:
everlenk yani hawa jamaa wana 'kiranga' sijawahi ona. Check sasa Manumbu anaanza kuwa mtabiri hata kwa timu zingine. Hapo alipo anaweweseka kuona form nzuri ya the gooners na nyie MANURE. Hata haelewi tena woga umemshika...

Kumbe ni uoga ahhhh!!!!!........
 
Eli79 mimi sina hofu kabisa. as long as point 3 zinaingia kibindoni...sina hofu kabisa. ila sina kubweteka. bingwa habweteki mpaka anyakue ubingwa...kabla ya hapo ni moto chini kama formula 1 mpaka kuufikia mstari wa ushindi!!!
 
Last edited by a moderator:
wakirusha mawe shauri yao...hayo huwa hayanigusi wala hayanishituagi. kuchukua ubingwa kunataka discipline kubwa sana, na sio bahati bahati au utoto utoto. ukitazama mabingwa wa EPL wamekuwa na tabia inayofanana. zitazame man u, city, chelsea na hata ile Arsenal ya wakati ule. kuna aina ya discipline ambayo you can easily tell hii ni timu bingwa. uchezaji wa waina hiyo am sorry to say kwa sasa haupo Arsenal. Man U mnaelekea lkn nadhani next year ndo ntaweza ona itawachukua muda gani kuchukua ubingwa. ile discipline ya kiubingwa bado haijajengeka hapo kwenu bado.

Ila kuna ka ukweli Fulani..... Unaizungumziaje City na LFC?
 
Kumbe ni uoga ahhhh!!!!!........

kuogopa nini? labda unambie naogopa kivuli changu mwenyewe. manake kwa gap lililopo hata nipande ghorofa ya 20 bado simwoni aliye nyuma yangu sasa niogope nini? la msingi niwahi kunyakua kombe ni relax nianze mipango ya usajili tayari kwa kutetea ubingwa wangu mwakani!!! lazima watu wachukie kuona kila mwaka ni Chelsea tu inachukua ubingwa....
 
Eli79 mimi sina hofu kabisa. as long as point 3 zinaingia kibindoni...sina hofu kabisa. ila sina kubweteka. bingwa habweteki mpaka anyakue ubingwa...kabla ya hapo ni moto chini kama formula 1 mpaka kuufikia mstari wa ushindi!!!

Sawa kiongozi, basi twende game by game, tunaanza leo vs burnley na nyie vs QPR kesho...game by game!
Hivi b5-click yu wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ila kuna ka ukweli Fulani..... Unaizungumziaje City na LFC?

City is a dilapidated team...hii ishajivunjikia kabisa. ntawatazama City baada ya kumwona kocha wao ajae. ni timu inayolilia kujengwa upya. wakipata kocha world class anaweza kuinusuru vinginevyo star players wataondoka na watarudi kuleee kwenye eneo lao la siku zote 8 - 14 positions

Liverpool kwa uwezo wa kocha waliyenae hawawezi kwenda mbali zaidi ya hapo walipo. amewasaidia kuwarudishia kwenye elite top level baada ya kuwa average 7 - 10 timu kwa muda mrefu. lakini kwa ubingwa bado sana. waanza na kutafuta kocha wa ubingwa. waliyenae hatoweza kuwapa ubingwa. atakuwa anakimbiwa kila siku na star players wake.
 
kuogopa nini? labda unambie naogopa kivuli changu mwenyewe. manake kwa gap lililopo hata nipande ghorofa ya 20 bado simwoni aliye nyuma yangu sasa niogope nini? la msingi niwahi kunyakua kombe ni relax nianze mipango ya usajili tayari kwa kutetea ubingwa wangu mwakani!!! lazima watu wachukie kuona kila mwaka ni Chelsea tu inachukua ubingwa....

Ahhh!!! Sasa point si nyingi kiivyo Gunners wanakutafuta na 7 sisi na 8 City 9 ahhh!! Hizi zinalipika kabisa tukikaza buti...........hatuchukiii Bali tunakupongeza ila mwaka huu naona..........
 
Sawa kiongozi, basi twende game by game, tunaanza leo vs burnley na nyie vs QPR kesho...game by game!
Hivi b5-click yu wapi?

na hiyo ndo imekuwa philosophy ya Maurinho tangu mwanzo wa msimu huu. game by game. kwa sbb kila gamu ina point 3 tu hakuna zaidi ya hapo. jitahidi leo uvuke kwa hao Burnley. sio wepesi kihivyo japo wanashuka na kurudi kwenye daraja lao la msimu uliopita
 
Last edited by a moderator:
Ahhh!!! Sasa point si nyingi kiivyo Gunners wanakutafuta na 7 sisi na 8 City 9 ahhh!! Hizi zinalipika kabisa tukikaza buti...........hatuchukiii Bali tunakupongeza ila mwaka huu naona..........

muda wa kuni catch up bahati mbaya umepita. bahati mbaya zaidi ni kuwa huko nyuma city walishani catch up. hilo lilikuwa somo tosha, especially kwa wachezai wangu watoto watoto. so washajua hatari ya complacency kwa matendo. it was a good learnign platform kwa kweli. ndo maana hilo haliwezi kujirudia tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom