Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

This is how we go today..
 
Attachments

  • 1428838837842.jpg
    1428838837842.jpg
    21.1 KB · Views: 94
  • 1428838857471.jpg
    1428838857471.jpg
    18.6 KB · Views: 92
Kulikoni leo mmeamka na maneno ya kukata tamaa? Aiseee yaani mnatabir kushindwa!!!!!!

Japokuwa leo nina mechi ngumu sana lakini nina imani na facts zaniruhusu kushinda kabisaa.

Nimepita niwasalimu, muwe na wakati mwema.

Tutashukuru sana, ila nahisi Leo jiran yangu utapoteza
 
Kinachonipa moyo ni kwamba kila mchezaji wetu anaweza kufunga. Ni bora Remy apone vzr kwa ajili ya game zijazo.

Hicho na cha msingi apone ili Manchester watakapo kuja tuna striker ambaye anaweza kuenda na speed ya mchezo.....maana Drogba atachoka sana
 
Kinachonipa moyo ni kwamba kila mchezaji wetu anaweza kufunga. Ni bora Remy apone vzr kwa ajili ya game zijazo.

Nyakati kama hizi ndo hunipa raha ya kuangalia kila mechi.
Ktk kipindi hiki cha mwishoni ndo wachezaji wanaoonekana bora hupotezwa na wachezaji wa kawaida na timu zinazokuwa ktk ubora hupotezwa na timu zilizoko mkiani.
Ni kipindi hiki ambacho matokeo hujulikana baada ya dk 90.
 
kitwala ole mwala?

Ni kweli usemacho ila haya majeruhi kwa hawa strikers wetu yananipa mawazo sn iwapo km Drogba na yeye ataumia....ni shida aisee. Lkn yote kwa yote bado Chelsea bado ni bora!

Hicho na cha msingi apone ili Manchester watakapo kuja tuna striker ambaye anaweza kuenda na speed ya mchezo.....maana Drogba atachoka sana

Ni kweli Mkuu...lkn kuanza kwa Drogba kunawapa nafasi hawa madogo kufunga kwasababu yeye ni bigman pale mbele hivo basi mfumo unabadilika kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Blazaaa Jose kiburi sana... Matic na Fab ndani... Hapa ndo ninapo mpenda huyu.
 
Blazaaa Jose kiburi sana... Matic na Fab ndani... Hapa ndo ninapo mpenda huyu.

Sio kiburi Mkuu! Mchezo uliopo ndio muhimu sio mchezo ujao. Biashara ya Leo ni muhimu sn Mkuu! Manumbu kaeleza hapo nyuma na kuna article moja nimeileta jamaa anasema yeye haangalii sijui Man City au Utd yeye anaangalia timu Yake na kilichpo sasaivi ndio ana deal nacho...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom