Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unajua ingekuwa inaongoza Man City, Arsenal, Liverpool suala la kuongelea uwezekano wa kupitwa lingekuwa linazungumzika. hii ni kwa sababu ya uzoefu wa huko nyuma. lkn kwa uzoefu huo huo wanajua wote hawa wapigao kelele kuwa kama Maurinho kakutangulia that much, sahau habari ya kumkuta. ni suala la kusubiri muda tu tujichukulie ndoo yetu. Vidumu watavichukua akina everlenk na BAK !tukianzia leo Bunrley akimpiga Arsenal manake pressure ya mechi 5 za kufunga inapungua. kesho tukimpiga QPR pressure inazidi kushuka. bado game yetu ya ziada ambayo tukishinda pia hizo presha ndo zinaisha kabisaaa!

kwa hali ilivyo sasa hata kabla hatujacheza na Leicester ku catch up na wengine ktk huo mchezo wetu wa ziada tutakuwa tumeshatangaza ubingwa! maana tutakuwa tushawapiga QPR, Man U na Arsenal!! Huku Man City atakuwa keshapigwa na Man U!! so siku na Leicester ni kukabidhiwa tu kombe letu, kama hiyo game itakuwa darajani!! Chelsea bw...raaaaahaaaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Manumbu nakubaliana na wewe ktk hoja yako Mkuu! Michezo ambayo ni muhimu sn kwetu kutangaza ubingwa ni mitatu tu. Mchezo wa kesho na QPR na Wa Man na Arsenal. Hii michezo ni muhimu sn ktk kukamilisha safari yetu ya ubingwa! Kutokana na kuipa umuhimu sn hii michezo basi hawa ManU na gunners wasitegemee kutufunga kabisa.

Mkuu hicho kiporo chetu kitakua ugenini Mkuu....ila Mimi ningependa sn tarehe 9 ktk mchezo wetu na kina Malafyale ndio tupewe kombe.
 
Hahahahahahaha!!! Haya Manumbu tumekusikia, ila ni hivi hiyo ndoo utaibeba lakini kwa machozi mpaka mapenzi ya Baba yatimizwe, aiseee kipigo chetu kinawahusu kabisaaaa njia yenu si tambarare ,utabeba ndoo huku tumewachapa !!!

Hata sasa nawe waliogopa jambia, Lol Ntuzu wapi kaka yangu Malafyale!!!!!
 
Hata sasa na wewe waliogopa jambia lol, majogoo ya anfield yatakumaliza ......Lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha!!! Haya Manumbu tumekusikia, ila ni hivi hiyo ndoo utaibeba lakini kwa machozi mpaka mapenzi ya Baba yatimizwe, aiseee kipigo chetu kinawahusu kabisaaaa njia yenu si tambarare ,utabeba ndoo huku tumewachapa !!!

Hata sasa nawe waliogopa jambia, Lol Ntuzu wapi kaka yangu Malafyale!!!!!

unajua sometimes ukisema ukweli watu wanakuona arrogant au proud au sijui nini. lkn ukweli mmoja ulio wazi kwa kila mtu anyefuatilia EPL ni kuwa kama kuna timu ambayo haiiogopi timu yoyote ni Chelsea. wengine wote watafanya reference to mechi zao na Chelsea. Chelsea haina reference point hata moja. hata kwa ile michezo michache tuliyopoteza sio kwamba tutakuwa tunaitazama kama tumefungwa na timu ambayo tunaiogopa. ni kwamba tumefungwa tu kwa vile ndio mchezo wa mpira.

sasa nenda kwa babu Wenger. muulize akueleze ni timu gani inayomnyima usingizi...of course ni Chelsea. na hilo dunia nzima inalijua. uliwaona Man U walivyoshangilia waliposawazisha goli tulipocheza nao kwao? yani unaona watu wanavyoshukuru kupatikana kwa hilo goli. lkn je sisi inakuwaje? ushaiona Chelsea inashangilia goli la kusawazisha kama van Persie alivyoshangilia siku ile? kwetu sisi ile draw ilikuwa ni kama kufungwa!!

so no wonder hata hii michezo na nyie Man U, Arsenal na Liverpool ni michezo tu ya kawaida sana kwetu. yani kwa kwetu sisi tunaweza kuwa na mashaka tukciheza na QPR, Leicester kuliko tuchezapo nanyi. Hbr ndo hiyo, japo kwenu na wale wenzenu wengine ni chungu....!
 
Mkuu Manumbu nakubaliana na wewe ktk hoja yako Mkuu! Michezo ambayo ni muhimu sn kwetu kutangaza ubingwa ni mitatu tu. Mchezo wa kesho na QPR na Wa Man na Arsenal. Hii michezo ni muhimu sn ktk kukamilisha safari yetu ya ubingwa! Kutokana na kuipa umuhimu sn hii michezo basi hawa ManU na gunners wasitegemee kutufunga kabisa.

Mkuu hicho kiporo chetu kitakua ugenini Mkuu....ila Mimi ningependa sn tarehe 9 ktk mchezo wetu na kina Malafyale ndio tupewe kombe.

sawa bingwa.....
 
unajua sometimes ukisema ukweli watu wanakuona arrogant au proud au sijui nini. lkn ukweli mmoja ulio wazi kwa kila mtu anyefuatilia EPL ni kuwa kama kuna timu ambayo haiiogopi timu yoyote ni Chelsea. wengine wote watafanya reference to mechi zao na Chelsea. Chelsea haina reference point hata moja. hata kwa ile michezo michache tuliyopoteza sio kwamba tutakuwa tunaitazama kama tumefungwa na timu ambayo tunaiogopa. ni kwamba tumefungwa tu kwa vile ndio mchezo wa mpira.

sasa nenda kwa babu Wenger. muulize akueleze ni timu gani inayomnyima usingizi...of course ni Chelsea. na hilo dunia nzima inalijua. uliwaona Man U walivyoshangilia waliposawazisha goli tulipocheza nao kwao? yani unaona watu wanavyoshukuru kupatikana kwa hilo goli. lkn je sisi inakuwaje? ushaiona Chelsea inashangilia goli la kusawazisha kama van Persie alivyoshangilia siku ile? kwetu sisi ile draw ilikuwa ni kama kufungwa!!

so no wonder hata hii michezo na nyie Man U, Arsenal na Liverpool ni michezo tu ya kawaida sana kwetu. yani kwa kwetu sisi tunaweza kuwa na mashaka tukciheza na QPR, Leicester kuliko tuchezapo nanyi. Hbr ndo hiyo, japo kwenu na wale wenzenu wengine ni chungu....!

Haya bana lakini tusikimbaane humu kuna wenzako walijipa ban ya muda humu, wote tunajua kombe ni lenu ila lazima tuwatingishe tingishe kidogooooo Lol, msingi mzuri umewasaidia kufika hapo mlipo kwa hilo hongera kwake Mou hata na hivyo wanasema ajidhaniaye amesimama na angalie asianguke, tuko nyuma yenu tunakuja kwa kasi sana.... Hizi mechi kama 3 za mwishoni mlizocheza kwa kweli haikuwa njema kabisa ni vile kismati kinawasaidia kwa kiwango hicho mkiendeleza mtateleza, inabid mcheze kama hamjawahi kucheza tena.
 
Asante

sio tu kwa kuuona ukweli, manake ukweli umeshauona siku nyingi, bali kwa kuukiri! huu ni mwaka wetu wa ubingwa. bora uukiri ukweli ukuweke huru!!

Aaaaaaaah wapi!!!!!!!!! Nasikia mwaka huu kilio cha Wenger kimefika juu hivyo huu ni mwaka wake,amekumbukwa na yeye......... Lol
 
Haya bana lakini tusikimbaane humu kuna wenzako walijipa ban ya muda humu, wote tunajua kombe ni lenu ila lazima tuwatingishe tingishe kidogooooo Lol, msingi mzuri umewasaidia kufika hapo mlipo kwa hilo hongera kwake Mou hata na hivyo wanasema ajidhaniaye amesimama na angalie asianguke, tuko nyuma yenu tunakuja kwa kasi sana.... Hizi mechi kama 3 za mwishoni mlizocheza kwa kweli haikuwa njema kabisa ni vile kismati kinawasaidia kwa kiwango hicho mkiendeleza mtateleza, inabid mcheze kama hamjawahi kucheza tena.

huo ndo uzuri wetu. tuko focused kutimiza lengo. tunajua ubingwa bado haujafika mikononi mwetu. so hatuwezi kuvimba vichwa na kujisahau. kukimbia hatukimbii asilani. yes Maurinho alifanya iwe kanuni kuanza na ushindi na kuendelea nao hata kama timu haichezi vizuri. na in fact hiyo ndo dalili ya bingwa. unapata ushindi hata pale unapocheza vibaya au kuzidiwa. so kwa ufupi ... tupo vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom