kitwala
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,476
- 1,066
Umeona eeh!! Kama wamemwagiwa maji, 8Mb zinasumbua.
Hawana uhakika, subiri wakipata goli watarudi kwa bidii
Umeona eeh!! Kama wamemwagiwa maji, 8Mb zinasumbua.
Umeona eeh!! Kama wamemwagiwa maji, 8Mb zinasumbua.
Hawana uhakika, subiri wakipata goli watarudi kwa bidii
Humu kuna baridi kweli leo!!
Drogba with 27 touches 1st half... Mkubwa na wanawe
Jamani mbona sisi tupo? Tunaangalia mpira kwanza. Mapumziko sasa tunaweza kupost chochote humu
Apumzike tu huyo jamaa....zilipendwa tayari!!
Humu kuna baridi kweli leo!!
Naomba nijibu ilikuwa mbayaaaaa, game limepooozaaaa
Hakuna cha baridi wala nini! Tunaongoza kwa pointi 7 na mechi moja mkononi. Hivyo hii mechi haina pressure kwa matokeo yoyote yale. I bet kipindi cha pili Drogba atatikisa wavu! Ukubwa dawa!
Naomba nijibu ilikuwa mbayaaaaa, game limepooozaaaa
Ntuzu unaonaje first half??
Naomba nijibu ilikuwa mbayaaaaa, game limepooozaaaa
Bora umemjibia maana huko alipo hali si shwari
Viumbe mnavurugu nyie?!!
Eli79 na Honey Faith wamemaliza kz yao Jana...mamito everlenk badae ntakurafuta ata darini ukijificha