Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

muda wa kuni catch up bahati mbaya umepita. bahati mbaya zaidi ni kuwa huko nyuma city walishani catch up. hilo lilikuwa somo tosha, especially kwa wachezai wangu watoto watoto. so washajua hatari ya complacency kwa matendo. it was a good learnign platform kwa kweli. ndo maana hilo haliwezi kujirudia tena.

hahahahahahaha!!! Yetu macho na masikio...... Ngoja nimalizane na mechi ya kesho.
 
hahahahahahaha!!! Yetu macho na masikio...... Ngoja nimalizane na mechi ya kesho.

mechi ya kesho lazima unashinda! litakuwa pambio zuri la kwako kuja darajani next weekend ukijivunia ushindi wa kesho. ila darajani hutoki. ingawa naamini wewe na sio Arsenal, utamaliza ukiwa namba 2 msimu huu!
 
Teh teh!! Yaani Chelsea hatufungi kabisa nimeshabet humu na Mentor na Ntuzu nakuongeza na wewe ,mkijitahidi tunatoka draw......
 
Last edited by a moderator:
Teh teh!! Yaani Chelsea hatufungi kabisa nimeshabet humu na Mentor na Ntuzu nakuongeza na wewe ,mkijitahidi tunatoka draw......

mimi huwa si bet kwa sbb za kiimani lkn as a matter of fact, darajani huchomoki asilani. yani ikiwa tena draw jihesabu umeshinda. ingawa ntasikitika kukufunga huku ukiwa na kipenzi chetu Mata kwenye timu yako!! ila hutoamini utakachokikuta darajani mpaka utamchukia tena LVG wako!
 
Hata mimi situmii imani ila ni facts, December,January,February sikuwa hata na jeuri ya kusema kwamba naweza mfunga mtu humu ila sasahivi hiyo jeuri ninayo na vizuri umelikumbuka garasa lenu hili hili ndo litakamilisha ushindi wetu kwenu, mark my word .
 
Mata akifunga goli utashangaa atalia live!Chelsea bado imemjaa moyoni mwake! anyway haya siku njema. all the best kesho to both of us ili tukikutana wote tuwe tumetoka kwenye ushindi game liongeze watazamaji world over. ni vyema siku hiyo kusiwe na habari ya kusikia. kila jicho na lushuhudie mtanange huo
 
Mata akifunga goli utashangaa atalia live! anyway haya siku njema. all the best kesho to both of us ili tukikutana wote tuwe tumetoka kwenye ushindi game liongeze watazamaji world over

Ole na mihayo sana Manumbu, sasa alie kwasababu gani?lol

Wobheja sana,Sasa haya ndo maneno kila la heri na wewe pia, uwe na siku njema pia.
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu sijui wamepotelea wapi sijawaona kabisa, BAK jana nilimuona mitaa fulani ila Utafiti ndo kabisaa ngoja tusubiri mida tukawafate nyumbani kwao

BAK anasubiri tufungwe kesho aje na picha zake zileeeeee km za watoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom