Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shiiit, kumbe ndo kwanza HT, nlijua Full Time!!!!! Anyway best wishez Hull City.
 
Kusema ukweli naona Chelsea ifungwe mechi zote na tusichukue kombe ili huyu Babu atimuliwe.
Huu mfumo wake wa kudefend ushagoma
 
Mchezo wa Morinyo ukiujulia unajipigia tu, kama huamini muulize Newcastle, T/Spurs na Man U.
 
Yaliyomkuta Loserpool mwaka jana yanaweza kumtokea Chelsick mwaka huu.
 
_81831263_hernandez_celebs_pa_hero.jpg


Chacha wale wanaojitia ati chelsick damu wako wapi?
Tipeni matokeo jamani wacha .. neni na uchoyo
khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Afu Chelsea fans wanajipa matumaini kuwa watachukua kombe. Kwa huu mchezo hatufiki popote pale.
Stoke, Liver, Arsenal, United ,QPR ni mechi ngumu sana
 
Tumepata point tatu muhimu sana japo mechi ilionekana ngumu kiasi

bado Blues kuna yumba kidogo kwenye ulinzi, Chelsea haina historia ya kufungwa fungwa magoli ya hovyo namna hii, hope Mou na wachezaji wake wameona hizo weaknesses na watazifanyia kazi kwa mechi tisa zilizobaki

Hongereni wana Blues wote
 
Niliandika tu kwamba sasa game imekuwa tamu, pamoja na jamaa kuwa kwao bado mlikuwa mna advantage...na ndivyo ilivyokuwa. Draw ingekuwa poa maana gap kati yenu na sisi ingebaki 5 points badala ya kuwa 7 points.

Ahsante mkuu, naona wewe hukuja kushangilia ilipokuwa 2-2
 
Jose on title race

‘The title race should be over, in normal conditions Chelsea should have
eight, ten or 12 more points than we have but football is unpredictable.
The reality is that we have a six-point lead, the best situation we’ve had
all season. The maximum distance we had was eight points but at that
point we had 20 matches to go. At this moment we have a six-point
lead with one match in hand, which could help us or not. I’m pretty
confident, I believe in my players, I believe we can do it but I know it’s
difficult.’
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom