Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nonda sijaona mahali palipoonesha kuwa anajiangusha tu. Yeye mwenyewe amemeambiwa Mou, huenda aliteleza and it appeared a foul.
Hujanionesha popote...hujaprove chochote!!!
 
Last edited by a moderator:
Nonda sijaona mahali palipoonesha kuwa anajiangusha tu. Yeye mwenyewe amemeambiwa Mou, huenda aliteleza and it appeared a foul.
Hujanionesha popote...hujaprove chochote!!!
Kupenda kunatia upofu.

Vaa miwani Mentor.

Last edited by a moderator:
Mi nashaangaa sana kwanini mpaka sana bado watu wanaizungumzia chelsea wanaacha habar current kama kutupwa nje kwa man city na asernal?...kweli chelsea ni team kubwa sana uingereza.

Huwezi kuuza maneno bila kutaja chelsea au mourinho aisee
 
Huyu kijana ni mzuri lakini pia ana tabia ya kujiangusha angusha ovyo. Huwa amejiweka tayari kujiangusha

Ushabiki ukiwekwa pembeni kuna uhusiano wa ku-dribble na kuchezewa rafu. It is well known that players who dribble are the most fouled.

Hazard, Sanchez, Sterling, Moses ni moja ya top dribblers in the Premiership na ndo wanaongoza kwa kufanyiwa rafu nyingi.

Ila kuna watu kama Oxlade-Chamberlain wanadribble lakini wamefanyiwa rafu chache.

Sababu inaweza kuwa mashambulizi mengi yanaanzia kwa watu kama Messi, Hazard, Sanchez na Sterling so they have to be stopped ASAP kuepusha mashambulizi.
 
Ushabiki ukiwekwa pembeni kuna uhusiano wa ku-dribble na kuchezewa rafu. It is well know that players who dribble are the most fouled.

Hazard, Sanchez, Sterling, Moses ni moja ya top dribblers in the Premiership na ndo wanaongoza kwa kufanyiwa rafu nyingi.

Ila kuna watu kama Oxlade-Chamberlain wanadribble lakini wamefanyiwa rafu chache.

Sababu inaweza kuwa mashambulizi mengi yanaanzia kwa watu kama Messi, Hazard, Sanchez na Sterling so they have to be stopped ASAP kuepusha mashambulizi.

Nakubaliana na wewe kabisa.
 
Mkuu Eli79 mariking ya mabeki kwa strikers tishio huo kubwa sn. Nakumbuka Luca Tony ktk WC pale Germany mwaka 2006 alikwenda akiwa Top scorer kutoka Italy lkn alipocheza alikua hafungi magoli kabisa kwasababu mabeki wote walikwenda wakijua kua Tony ni hatari na kuongeza marking sn kwake.....nakumbuka alifunga goli moja tu kama sijakosea ktk mashidano yote. Kwahiyo ata hawa jamaa kina Geroud na Costa wanapokwenda CL wanakuta mabeki wamepewa maagizo kua hawa ni wafungaji hatari na kuongeza umakini ktk kuwakaba.

Chifu, mfungaji mzuri lazima afunge katika mazingira hayo. Huwezi kutegemea afunge bila ya kufanyiwa marking.

Soka ni mchezo wa makosa, na mfungaji mkali anajua namna ya kutumia makosa hayo kutingisha nyavu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom