Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni sana kwa point 3 muhimu sana,mengine yaachwe tu kama yalivyo. Ntuzu niliwaambia mdharau mwiba ...
lakini Mungu mkubwa maombi yangu yalikuwa nanyi daima hata ile dakika ya mwisho.

Cc Viol Mentor kalou

Nashukuru sn mamito, na nyie jana mlinipigia Malafyale sijamuona tena akisema kua "NA NYIE SASA MNAYAOGOPA MAJOGOO" dawa imemuingia chezea JuanMata weweeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
ligera;

Ubingwa lazima tuchukue yani iwe isiwe na sasaivi tumebaki tunahesabu michezo kua bado mingapi leo tisa au minane....mpk utasikia kombe hilo limetua.....

Nafikiri umekua haufatilii habari za chelsea, ni kwamba baada ya chelsea kutolewa na PSG ktk UEFA, pamoja na makosa ambayo kocha na chelsea walifanya siku hiyo lkn kulikua na sababu ingine kua PSG ilikua na wachezaji wazuri na bora kuliko baadhi ya wachezaji wetu hili swala mpk Abramoney ameliona na kumpa Mou Pound km M80 kwa ajili ya kusajili beki na kiungo na mshambuliaji hapo ktk majira ya kiangazi. Wameamua kufanya hivi ili chelsea iweze kufanya vzr ktk UEFA msimu ujao.....
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sn mamito, na nyie jana mlinipigia Malafyale sijamuona tena akisema kua "NA NYIE SASA MNAYAOGOPA MAJOGOO" dawa imemuingia chezea JuanMata weweeeeeeee

Nilikuwa safarini mkuu,ndiyo nimefika home sasa

NASISITIZA tena jana tumefungwa sababu ya UPUUZI wa SG wala sio Juan Matta
 
Pole sn mkuu kwa safari....lkn km ukisimamia hoja kua ni upuuzi wa SG vp na kwa Rooney kukosa penalty... huoni km ManU walikua wawapige tu ata km angepiga huo mkwaju mtu mwingine?
 
Msamehe tu unajua hiki kipigo hawakukitegemea! Walishashinda hii game midomoni! Wazungu wanasema 'they didn't see this coming'

BTW njia yenu ya ubingwa inazidi kuwa nyeupe, City anatakiwa aje OT, Arsenal nae anatakiwa spite OT hao ndio wapo nyuma yenu! Naamini dua zako zitakuwa kwetu!
 
binafsi nadhani tuko pazurina tuko vizuri. ushindi ni ushindi tu hata kama tumeuhangaikia. in any case tusisahau pia kuwa kila timu tutakayocheza nayo lazima itakamia kuliko kawaida. so tukifanikiwa kushinda tusisikitike sana. bado hizi mechi ni ngumu sana. hatuko vibaya kabisa ndugu zanguni. na wala hatuna haja ya kujaa pressure, ingawa pia hatuhitaji kubweteka kama Liverpool this time last season mpaka kombe likawatoka. tukaze buti, tujue tunahitaji point 3 kila game hata kama tutashinda kwa tofauti ya goli moja, huo ni ushindi tayari!!

Wapinzani wako wa karibu watapita pale OT na Mara nyingi sio sehemu nzuri kupita ukiwa na shida ya 3pts! Tutawatendea haki natumaini dua zako zitakuwa kwetu!
 
Msamehe tu unajua hiki kipigo hawakukitegemea! Walishashinda hii game midomoni! Wazungu wanasema 'they didn't see this coming'

BTW njia yenu ya ubingwa inazidi kuwa nyeupe, City anatakiwa aje OT, Arsenal nae anatakiwa spite OT hao ndio wapo nyuma yenu! Naamini dua zako zitakuwa kwetu!

Nimeliona hilo kitambo sn mkuu....kuporomaka kwa City kumekaribia na ktk timu inayo nitisha jinsi inavokuja ni ManU....

Mpk sasa naweza kuungana kabisa na Michael Carrick na Chris Smalling waliposema kua wanaitaka nafasi ya pili....hizi ni kauli nzito sn mkuu ata kwetu iwapo km tutasuasua na kudondosha point....

Msimamo wa ligi mpk mwisho unaweza ukawa

1 Chelsea

2 Man Utd

3 Arsenal

4 Man City

5 Liverpool
 
Ntuzu;

Man city kiwango kimeshuka Sana,atapoteza nafasi ya pili na hio maana yake Chelsea bingwa! Arsenal wanaenda vizuri ila the best they can achieve ni runner up! The same applies to man utd!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi Ntuzu huo msimamo wako wa ligi ndio wa kwangu,ingawa ningependa mmoja wa Southampton au Totenham wangekuwa kwenye position 4 lkn ndo hivyo ngoma ya kitoto haikeshi. ila naamini Man City atamaliza akiwa wa 4 this time. na ndo utakuwa mwisho wa Pellegrini.
 
Last edited by a moderator:
Ili kuhakikisha tunamaliza kazi tuliyoanza nayo tangu msimu unaanza na tunabeba ndoo kabla ya mechi zote kuisha, Mourinho anapaswa sasa kubadilisha formation na kuchezesha strikers wawili (Remy na Costa au Drog kama Costa hatopona haraka). Formation yetu ya kuweka striker mmoja inawapa chances team pinzani kucheza na 3 defenders na kutushambulia sisi sasa. Yaani vitimu kama Burney, Hull etc navyo eti vinashambulia na kutupia magoli nyavuni kwetu. Juzi hapa mpaka half-time, Hull walikuwa wamepiga mashuti kama 14 wakati sisi yetu hata 7 yalikuwa hayafiki

Bado safari ni ndefu. Mechi na Stoke, Arsenal na Man Utd ni mtihani ule lakini nina imani na team linapokuja suala la kucheza na timu kubwa
 
Mkuu wakati mwingine mimi hua nasema kua biashara ya Man City imeshakwisha lkn watu wanaona km nalopoka tu lkn ukirudi kwenye ukweli City hana chake tena....na ligi imeshaisha mkuu.

Kiongozi Manumbu km mabadiliko yanaweza kutokea ni kwa ManU na Arsenal ktk hiyo nafasi ya pili na ya tatu, lkn Man City nafasi ya 4 ni ya kwake ata iweje....na LFC ni wa tono tu....na huu ndio muda wa mtu kushika alichonacho.
 
How about Liverpool?
 
Kwa ajili ya ligi iwe hai kidogo inatakiwa gap la wa kwanza na wa pili liwe points 5 hivi kwahio itakuwa burudani Chelsea hata atoe draw game moja tu! Samahani lakini....
 
Ili kuhakikisha tunamaliza kazi tuliyoanza nayo tangu msimu unaanza na tunabeba ndoo kabla ya mechi zote kuisha, Mourinho anapaswa sasa kubadilisha formation na kuchezesha strikers wawili (Remy na Costa au Drog kama Costa hatopona haraka). Formation yetu ya kuweka striker mmoja inawapa chances team pinzani kucheza na 3 defenders na kutushambulia sisi sasa. Yaani vitimu kama Burney, Hull etc navyo eti vinashambulia na kutupia magoli nyavuni kwetu. Juzi hapa mpaka half-time, Hull walikuwa wamepiga mashuti kama 14 wakati sisi yetu hata 7 yalikuwa hayafiki

Bado safari ni ndefu. Mechi na Stoke, Arsenal na Man Utd ni mtihani ule lakini nina imani na team linapokuja suala la kucheza na timu kubwa

Kama ni mpnz wa Mocktails km mimi tafuta kijisehemu chako kizuri ugonge glass yako moja bariiiiiidi huku ukiwa unasubili ndoo itue darajani....

Game na Hull ilikua lazima tushinde ata iweje....mimi sikua na mashaka juu ya hilo. Tulifanya makosa kwa PSG na Soton...hayo makosa ni fundisho kubwa kwa timu ktk kumaliza ligi maana ktk maadhimio baada ya hiyo michezo tuliona Jose Mou akitoka na kauli nzito za kutaka kuchukua ubingwa wa EPL..ile kauli si mchezo mkuu...

Hatuwezi kulalamikia mfumo wakati huo mfumo ndio umetufikisha hapa tulipo sasa na kutupatia kombe moja.

Mi nafikiri ni wakati wa kumpaga Remy awe anacheza kwasababu akipangwa huyu tutacheza mpira kwa kasi sn alafu Costa mabeki wanamkania sn kiasi kwamba wanamchezea rafu sn ata juzi nafikiri uliona.

Cheersssssssss.
 
How about Liverpool?

Liverpool anagombea nafasi ya tano na akina Tottenham,Southampton maanake wana pts 54,53,53

Kusema ukweli mimi ninachojua ni kwamba LFC kwenye top 4 hawamo na kitu kingine ni kwamba nafahamu ktk mchezo wetu na LFC tarehe 9 mwezi wa tano ndio mchezo tutakao kabidhiwa kombe letu mbele ya majogoo na Malafyale akiwa anashuhudia na BR wake.
 
Last edited by a moderator:
Kwa ajili ya ligi iwe hai kidogo inatakiwa gap la wa kwanza na wa pili liwe points 5 hivi kwahio itakuwa burudani Chelsea hata atoe draw game moja tu! Samahani lakini....

Mkuu haina haja ya kuomba samahani hapa wewe toa maoni yako kadri uwezavo kwa uhuru kabisa.....

Ata mimi naona kuna poits km mbili hivi tunaweza kuangusha mpk 4 na hizi itakua ni michezo wa kwenu mwezi ujao na wa arsenal pale kwake BAK lkn nyie wa chini mkipigana sn na kuvurunda ktk michezo ingine unaweza shangaa gap ya point ikafika kumi aiseee.
 
Last edited by a moderator:
Kusema ukweli mimi ninachojua ni kwamba LFC kwenye top 4 hawamo na kitu kingine ni kwamba nafahamu ktk mchezo wetu na LFC tarehe 9 mwezi wa tano ndio mchezo tutakao kabidhiwa kombe letu mbele ya majogoo na Malafyale akiwa anashuhudia na BR wake.

Naweka kwenye kumbukumbu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom