Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Hahahaa tunaanzia kwenu kwanza alafu tunakuja kwetu hapo badae...lkn kusema ule ukweli huu mchezo na Hull City utakua mgumu sn lkn ili tujiweke ktk mazingira ya kuchukua ubingwa lazima tushinde huu mchezo wa leo ili kuepuka msongamano wa ukaribu wa points km nyie lol....
Niwatakie kila la heri ktk mchezo wenu...
Last edited by a moderator: