Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Revelation 13
Hahaaaaaaaaaa.....................
Unanichokoza mkuu. lkn yaweza kua ni gari la rais wa Marekani pia.
Revelation 13
Mmeshaanza tayari..lolHahaaaaaaaaaa.....................
Unanichokoza mkuu. lkn yaweza kua ni gari la rais wa Marekani pia.
Mmeshaanza tayari..lol
Mou anasema Arsenal ni title contenders nae, hapo vipi wazee wa darajani ni kweli hii ama danganya toto?
Nonda na wenzako msipepese macho msomeni huyu kocha
Koeman defends Mourinho
Southampton manager Ronald Koeman has defended under-fire Chelsea boss Jose Mourinho.
Jose Mourinho and Ronald Koeman: Worked together at Barcelona with Luis Van Gaal
...............
"I think that's the difference but sometimes he is playing a game. Everybody knows that but if it is done in a respectful way then I don't have problems with that.
....................
"In every sport and every business if you are one of the top managers then you have to live with critics, both negative and positive but if you look at his CV, it tells you enough.
Mimi nimemependa hizo enye rangi ya damu.
Lakini kwa nini unamtaja Nonda tu katika bandiko? Una la ziada ambalo unataka nilifahamu?
Juzi ya "kiswahili" baada ya kupata kipigo, ninyi baadhi ya wa-chelsea mlikuja hapa jukwaani na kulalamika, kukubali kuwa Mou anawaharibia timu "yenu" kwa mbinu yake ya ku-pack basi.
Je machungu yamepungua na mmebadili msimamo? Au mimi ndio sifahamu nnaposoma maoni yenu?
That's whats up...
Eden Hazard
Wacha nikubaliane na wewe tu kwamba mimi sielewi nnaposoma maoni yenu. Ingawaje bado sijafikia ukilaza!Mimi nimependa paleeeeee, "But if you look at his CV, it tells you enough"
Namtaja Nonda kwasababu ni mkosoaji mkubwa wa Mou.....
Umeshasema baadhi ya wanacheslea, hapa una maana kwamba sio wote...km ungeona mimi nalalama juu ya hilo ungekua na hoja kwasababu hao wanao lalama hawajua undani wa Mou...
Na pia utakua labda hauelewi usomapo maoni yetu.
Wacha nikubaliane na wewe tu kwamba mimi sielewi nnaposoma maoni yenu. Ingawaje bado sijafikia ukilaza!
Bado unaamini hamtapoteza mechi au kudondosha points kwa mechi zilizobakia? :lol:.:smile-big:
Hapo ndio ladha na utamu wa ligi unazidi.Ndio Nonda........na tayari nimeshaanza kusheherekea ubingwa.
Huyu kijana ni mzuri lakini pia ana tabia ya kujiangusha angusha ovyo. Huwa amejiweka tayari kujiangusha kama walivyo wengi wa wachezaji wa Chelsea ukimkaribia tu yuko chini, wamezidiwa tu na Ashley young wa Man United na kwa siku hizi Rooney nae anajiingiza katika "uhuni" wa kujiangusha ovyo.
Hapo ndio ladha na utamu wa ligi unazidi.
Liverpoool walianza pia sherehe ya ubingwa msimu uliopita.
Sisi bado tunakodolea macho runinga!!!
He was also incensed during the game that Spurs defender Federico Fazio was not sent-off for a challenge on Hazard, which the Belgian later told Mourinho was not a foul.Mfano?
därren böyle ‏@misterscoop 18. feb.Mfano?