Salah hajauzwa alitolewa kwa mkopo ila huko alipo kafunga magoli zaidi ya saba tayari.... yuko Fiorentina.
Tatizo la Mou ni ana chuki binafsi na wachezaji wake kama hakupendi hawezi kukupanga.
Leo alikosea kumuanzisha Matic hadi akasababisha penalt.
Hata huyu mjinga Cuadrado anapewa nafasi anapiga mbali na goli.
Hazard anajitahidi sana anafanya kazi kubwa kuliko ila kule mbele wamejaa wajinga.
Chelsea hatuna Plan B mambo yakienda kombo, na ikumbukwe kwa msimu huu tukifungwa tumefungwa huwa hatuwezi rudisha na kushinda. Tutegemee kupoteza point nyingi
Arsenal, Liver, United wanatusubiri hapo twaweza poteza point 6 hadi 7 ikiwa na maana tukafungwa game mbili na kutoka draw
Mkuu isifikie hatua mkuu mtu unakata tamaa kwa matokeo km haya.... kitu ambacho kinaweza kuuma mpk leo ni namna tulivotolewa ktk UEFA lkn sio EPL. Nitakupigia hesabau hapa kidogo alafu uone km kombe haliji Darajani.....
Michezo bado kumi hivi ndio ligi iishe na ukumbuke kua tuna game moja mkononi na Leicester amabayo tutaiche tarehe 29 mwezi wa nne na tukishinda huo mchezo tutakua tunaongoza ligi kwa points 9 km hizi timu kubwa zitabaiki km zilivyo ktk matokeo yake....
Sasa nimesema tumebakiza michezo kumi sasa mimi nasema hii michezo mikubwa yote tupate draw, Man Utd akija kwetu tupate sare, ukitoa point mbili ktk hizo 9 unabakiwa na saba. Aya, tukienda kwa Arsenal na kwenyewe tupate sare... zinabaki point tano na LFC akija kwetu mwezi wa tano na yeye tupate sare ktk tano zinabaiki 3 alafu michezo mingine yote tushinde...Man City hatuan biashara na yeye tena na kwa mahesabu hayo City au timu yoyote haitoweza kutufikia... na uzuri ni kwamba hizi timu ambazo ziko nyuma yetu zina ratiaba ngumu sn. Yani ni lazima zipunguzane zenyewe...na hili zoezi linaanza weekend ijayo kati ya LFC na ManU. Hawa lazima wauwane na kupunguzana wenyewe. Alafu kazi ingine itakuja kwa Man City pale atakapokwenda kwao ManU...hapa tena hawa lazima wapunguzane wenyewe. Timu ingine ni Arsenal....bwana
BAK huyu mbali ya kucheza na sisi, huyu bwana mwezi wa 4 atakua mwenyeji wa LFC pale kwake na pia mwezi wa tano atakua mgeni wa
Nzi pale OT....ktk michezo yote hii miwili, matokeo yoyote yatakayo patikana kwangu mimi ni sawa tu kikubwa ni wao kupunguzana point tu....hapa ambaye biashara yake imekwisha ni City na sio tishio tena kwetu kutokana na ratiba jinsi ilivo amebaki kutuombea njaa tuu ambazo ni ndoto za mchna kweupe.
Kwa hiyo ukiangalia timu zote zinavoenda kwa sasa na ratiba zao jinsi zilivo unaona wazi kabisa uwezekano mkubwa wa chelsea kuchuka kombe....ata km ktk michezo iliyobaki tukapa draw tatu na kushinda yote maana kufungwa au kupoteza hilo halipo kabisa..... na ukumbuke kua sasaivi chelsea haiko ktk presha kubwa km jinsi ilivo kwa Man City akisumbuliwa na Arsenal ana Arsenal huyu huyu na yeye anasumbuliwa na ManU, ManU anasumbuliwa na LFC. Hawa ndio wako na shida na mashaka kibao maana wengine wanafikiria wanaweza kukosa kucheza CL msimu ujao na km timu za England zitatolewa zote ktk hii hatua ya 16 bora msimu huu,huenda msimu ujao wakapewa nafasi ya timu mbili tu kushiriki ktk uefa...kwahiyo wana prsha kubwa sn hawa jamaa.
Ni wakati sasa wa Chelsea kucheza mpira mzuru na kuhakikisha kua hawadondoshi point hovyo na hawapotezi mchezo ata mmoja......mkp kombe litue darajani.
Ubingwa ni wetu iwe isiwe......