Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Natumai tutashinda..nimegoma kwenda kuangalia hiyo mechi though...nitaangalia ya Man utd.
 
jana burnley wametutafunia tushindwe wenyewe kumeza leo. kuongoza pointi 8 ni muhimu sana kipindi hiki tunachoelekea kuchukua kikombe cha pili. come one the blues!
 
jana burnley wametutafunia tushindwe wenyewe kumeza leo. kuongoza pointi 8 ni muhimu sana kipindi hiki tunachoelekea kuchukua kikombe cha pili. come one the blues!

Diego ameanza kutupeleka kwenye silver ware
 
Acha kujidanganya timu kubwa duniani zinajulikana,kinachowafanya mjadiliwe ni mdomo wenu na mdomo wa kocha wenu.Man United wamefungwa na Arsenal but unasahau mwaka huu Chelsea alifungwa goli 5 na Spurs

Hahahahaaaaaaa mkuu umeua vibaya. Totenham imekuwa timu kubwa duniani kuanzia lini mpaka kumdungua morinyo Bao 5, si bora ya kufungwa 2-1 tena kombe la FA, nilidhani Man U kafungwa ligi kuu kumbe FA ndio maana haijaongelewa.
Vile vile mdomo wa morinyo unamponza kila siku hajifunzi tu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Yaani utumbo leo wanacheza hawa watu. Sijui kwanini Mou hataki badili mfumo huu na kuwabadili watu kama Costa
 
Hawa So'ton wananipa raha sana, game bomba sana.

Unafurahiaeee..mi nasoma hapa kwa msaada wa Livescore.com kila muda naona jina la Mane na Tadic...inaonesha wanatusumbua sana.
Hazard katajwa mara mbili tu...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pongezi kwa Thibaut Courtois mpaka sasa amewaweka Chelsea mchezoni, it sould have been Chelsea 1-3 Soton

Uyu kipa mzuri aiseeeee
 
Maji yamekuwa marefu kwa Chelsea. S'ton wanacheza vizuri sana!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom