Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Well said Ntuzu. I support and concur with you. tunachopaswa kufanya tu ni kuhakikisha hatujisahau na hili Maurinho keshalisemea kuwa hakuna complacency. tofauti na timu nyingine, hizi sare na ushindi wa 1-0 ndio matokeo ya kushuka kwetu kidogo kwa kiwango. sasa kama ukishuka kiwango unatoa sare, je kiwango kikirudi itakuwaje? nadhani hatuna sababu ya kupanda mzuka wana Blues. sana sana tuendelee tu kuumia kwa kuondoka kwenye CL. Lkn EPL msimu huu ni letu kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu isifikie hatua mkuu mtu unakata tamaa kwa matokeo km haya.... kitu ambacho kinaweza kuuma mpk leo ni namna tulivotolewa ktk UEFA lkn sio EPL. Nitakupigia hesabau hapa kidogo alafu uone km kombe haliji Darajani.....

......
Kwa hiyo ukiangalia timu zote zinavoenda kwa sasa na ratiba zao jinsi zilivo unaona wazi kabisa uwezekano mkubwa wa chelsea kuchuka kombe....ata km ktk michezo iliyobaki tukapa draw tatu na kushinda yote maana kufungwa au kupoteza hilo halipo kabisa..... na ukumbuke kua sasaivi chelsea haiko ktk presha kubwa .........

Ni wakati sasa wa Chelsea kucheza mpira mzuru na kuhakikisha kua hawadondoshi point hovyo na hawapotezi mchezo ata mmoja......mkp kombe litue darajani.

Ubingwa ni wetu iwe isiwe......
Ntuzu
Unatamani Chelsea isipoteze mechi au point, hilo haliwezekani.
Hizo timu ambazo mnafikiria ni nyepesi kuzifunga ndio ambazo zitawakamua kichizi. Uliza Man City alifanywa nini na Burnley?

Umepata wapi nguvu na ujasiri wa kusema biashara ya Man Shitty imekwisha kama haikuwa kwa City kukwaa kisiki kule Burnley?

Minzio ikinyolewa na wewe ............
Na hilo tayari linawezekana au Southampton hawakuwaonesha dalili?
 
Well said Ntuzu. I support and concur with you. tunachopaswa kufanya tu ni kuhakikisha hatujisahau na hili Maurinho keshalisemea kuwa hakuna complacency. tofauti na timu nyingine, hizi sare na ushindi wa 1-0 ndio matokeo ya kushuka kwetu kidogo kwa kiwango. sasa kama ukishuka kiwango unatoa sare, je kiwango kikirudi itakuwaje? nadhani hatuna sababu ya kupanda mzuka wana Blues. sana sana tuendelee tu kuumia kwa kuondoka kwenye CL. Lkn EPL msimu huu ni letu kabisa.

Mkuu asante sn kwa kuunga mkono hoja yangu......Unajua baada ya kutolewa na PSG ktk UEFA baada ya kucheza mpira kwa kiwango kibovu sn na kupelekea PSG kusonga mbele.....kuna mambo muhimu ambayo tunaweza kuyangolea baada kutolewa ktk hayo mashindano....Ninapenda leo kukiri kua kocha wetu Mourinho pamoja na wachezaji wote wanapaswa kulaumiwa kati kutolewa kwao maana nafasi ya kusonga mbele kwa chelsea ilikua kubwa hasa kutokana na matokeo ambayo chelsea iliyapata pale ilipokuwepo ugenini kule Paris. Swala pili ni kutolewa kwa Ibra, hii ilikua ni nafasi ingine kwa chelsea kuishinda PSG. Lkn mambo hayakua hivo km hizo sababu mbili hapo zinavotubeba.

Swala jingine PSG kwa sasa ina wachezaji bora kuliko sisi hili napenda kukiri wazi, hawa jamaa kila mchezaji ambae wako nae ni bora kuliko baadhi ya wachezaji wetu na uzuri ni kwamba tayari mmiliki wa chelsea ameshaliona hili na ameona ili tuweze kuchukua kombe la UEFA au ili tuweze kufanya vzr ktk UEFA inabidi kuongeza wachezaji kuanzia nafasi ya mabeki wa kati na viungo na striker as well. Hizi ni baadhi ya sababu ambazo zilifanya tutolewe ktk UEFA pamoja na makosa mengine ambayo waachezaji na kocha walifanya walifanya siku ile.

Nikiachana na UEFA, na nirudi katika EPL. Binafsi wakati mwingine natamani tujitangaze mabingwa ata leo hasa ukiangalia ratiba ya timu zote jinsi ilivo na ni namna gani watakovopunguzana points ktk michezo yao inayokuja.... Nisiseme mengi sana juu ya EPL maana tayari nimesema machache hapo nyuma, ila ninachotambua kua ni kwamba watu wasiopenda Chelsea watasema mengi sn ili kutukatisha tamaa lkn ukweli ni kwamba kwa wakati huu timu ya chelsea imetulia sn na wako vzr na wako tayari kupambana ili kuleta kombe darajani na uzuri ni kwamba Jose Mourinho na uongozi woote wa chelsea wanaelewa hali hii vzr sn.

Asante sn.
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu
Unatamani Chelsea isipoteze mechi au point, hilo haliwezekani.
Hizo timu ambazo mnafikiria ni nyepesi kuzifunga ndio ambazo zitawakamua kichizi. Uliza Man City alifanywa nini na Burnley?

Umepata wapi nguvu na ujasiri wa kusema biashara ya Man Shitty imekwisha kama haikuwa kwa City kukwaa kisiki kule Burnley?

Minzio ikinyolewa na wewe ............
Na hilo tayari linawezekana au Southampton hawakuwaonesha dalili?

Teh Teh Teh TEh, mkuu Nonda haiitaji kubishana sn na wewe, mimi tayari nimeshaanza kusheheleka ubingwa wa chelsea msimu wa 2014/2015. Najiandaa kubandika uzi hivi karibuni wa sherehe ya ubingwa wa EPL wa Chelsea.
 
26B3662400000578-0-image-a-33_1426514991022.jpg

Criminal act from criminal player ... ...
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

26B3662800000578-0-image-a-34_1426514994129.jpg

TV presenter Gerhard Delling was left stunned after seeing
K a l o u take a chunk out of the Berlin Wall
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

The BEAST........................

The Beast lakini hana hata goli la dawa CL na hana hata la dawa WC.

Kuna mjadala unaomjadili yeye na Olivier Giroud. Nani kati yao ni Great Striker na nani ni Good Striker.
 
The Beast lakini hana hata goli la dawa CL na hana hata la dawa WC.

Kuna mjadala unaomjadili yeye na Olivier Giroud. Nani kati yao ni Great Striker na nani ni Good Striker.

Kiongozi hiyo mijadala ipo mingi sn lkn ukweli ni kwamba Marking ya mabeki kwa strikers wanaosumbua hua ni kubwa sn.

BTW, Nimepita mtaana wenu nimeona mmpo kimya tu au tayari mmekubali kutolewa na Monaco?

Cc: BAK rubman
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi hiyo mijadala ipo mingi sn lkn ukweli ni kwamba Marking ya mabeki striker wanaosumbua hua ni kubwa sn.

BTW, Nimepita mtaana wenu nimeona mmpo kimya tu au tayari mmekubali kutolewa na Monaco?

Cc: BAK rubman
Mimi mbona nipo sana kule. Leo ni kipigo tu, msituonee kijicho tu majirani...!
 
The Beast lakini hana hata goli la dawa CL na hana hata la dawa WC.

Kuna mjadala unaomjadili yeye na Olivier Giroud. Nani kati yao ni Great Striker na nani ni Good Striker.

Oliver ana magoli mangapi in all competitions this season? Compare to Costa ?
 
Oliver ana magoli mangapi in all competitions this season? Compare to Costa ?
Olivier ana magoli 11 katika ligi while Costa ana 18 katika ligi.
Wote hawana goli CL hadi sasa.
Swali linabaki pale pale, kwa nini Costa awe world class striker na Giroud aonekane wa kawaida wakati Costa katika mechi kubwa hayupo?
 
Hata sijui, ila najua Bayer Munich , Real Madrid au Barcelona wanaweza kuongeza Dau kumnunua Costa au Aguero ila sio Oliver ,..nafikiri na aina ya uchezaji wa Oliver pia
Giroud sio striker anayetisha, he is quite, sio aggressive
 
People must be joking! Giroud si wa kulinganishwa na Costa! Hawa ni watu toka sayari mbili Tofauti! Aguero sawa. Kama unataka. Mlinganishe Giroud na Sturidge!
 
Labda kwa sababu hizo, otherwise he's just a "normal" striker as compared to the likes of Aguero. Hata Benzema mie namkubali kuliko Costa..!
 
Labda kwa sababu hizo, otherwise he's just a "normal" striker as compared to the likes of Aguero. Hata Benzema mie namkubali kuliko Costa..!

Huoni Baloteli anavyojulikana kuliko Oliver na hafiki hata nusu ya ubora wa Oliver,
 
People must be joking! Giroud si wa kulinganishwa na Costa! Hawa ni watu toka sayari mbili Tofauti! Aguero sawa. Kama unataka. Mlinganishe Giroud na Sturidge!
Toa sababu usiongee kishabiki kiongozi...!
 
Huoni Baloteli anavyojulikana kuliko Oliver na hafiki hata nusu ya ubora wa Oliver,
Nalo neno, kwa hiyo tukubali kuna watu wana damu ya kunguni, au hawakubaliki kirahisi hadi wafanye ''the unthinkable'' lol..
 
Olivier ana magoli 11 katika ligi while Costa ana 18 katika ligi.
Wote hawana goli CL hadi sasa.
Swali linabaki pale pale, kwa nini Costa awe world class striker na Giroud aonekane wa kawaida wakati Costa katika mechi kubwa hayupo?

Mkuu Eli79 mariking ya mabeki kwa strikers tishio huo kubwa sn. Nakumbuka Luca Tony ktk WC pale Germany mwaka 2006 alikwenda akiwa Top scorer kutoka Italy lkn alipocheza alikua hafungi magoli kabisa kwasababu mabeki wote walikwenda wakijua kua Tony ni hatari na kuongeza marking sn kwake.....nakumbuka alifunga goli moja tu kama sijakosea ktk mashidano yote. Kwahiyo ata hawa jamaa kina Geroud na Costa wanapokwenda CL wanakuta mabeki wamepewa maagizo kua hawa ni wafungaji hatari na kuongeza umakini ktk kuwakaba.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom