Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hamna timu inayomaintain kiwango throughout the season, nadhani cfc imeanza kuchoka na hii ilianza toka zile mechi tulizokuwa tunashinda 1-0,1-0 ila ushindi ulikuwa mtamu hatukuliona hili tatizo solution labda rotation itasaidia
 
He is there for that reason bro...it should have been Chelsea 1 - 1 Soton...as it is!!!

Ha ha ha ha haha haya nimekukubalia, it is jst a normal word to be used in football commentary!!


All the Best leo
 
Nilisema hakuna kipya kama mfumo utaendelea ule ule.
Hadi siku tukipitwa na Arsenal msimu huu ndo atajua.
Afu likitoka hapo litaenda kuropoka kwa media
 
Nimesema kwa sababu kuzikosa hizo points ni mojawapo ya matokeo yanayoweza kutokea chifu..

Yaani katika hizo mechi mbili, haya yanaweza kutokea: (a) kupata points zote 6, (b) kukosa points zote 6, (c) kupata points 2 kati ya 6, (d) kupata point 1 kati ya 6, (e) kupata points 3 kati ya 6,na ( f) kupata points 4 kati ya 6.

Nakumbushia tu matokeo yanayowezekana kutokea katika soka...game ya kwanza tayari hiyo...tusubiri ya pili...
 
Basi la Mourinho limeanza kuishiwa na mafuta.

Matairi nayo yanayumba yumba....Je kunani?

Je historia ya msimu uliopita inataka kujirudia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom