Tutasikia mengi sn hii wiki mpk tuje tuchuke kombe la EPL ndo mtakaa kimya.
Kweli una tamaa kuwa Chelsea watachukua kombe la EPL?
Ndoo ya Segerea inawasubiri, Ntuzu.
Mlitaka Ndoo ine (4). Mbili zimeota mbawa, cha mbuzi to save face, na EPL haijawakalia vizuri. Ntuzu kuna kitu hutaki kukikubali. Chelsea inatumia mbinu chafu ya ku-dive au kuzidisha chumvi kama alivyofanya Oscar juzi ili kujaribu kum-fool mwamuzi atoe adhabu kali kwa mpinzani.
Si hizo tu lakini tabia ya Mou ya kulalamika kuwa huna hila kuinyima ushindi Chelsea au kukejeli maamuzi ya waamuzi pale maamuzi yao yasipoenda upande wa Chelsea ni vitu ambavyo vinaweza kuwafanya waamuzi kuwa wagumu kwa Chelsea kitu ambacho kinaweza kuua mori ya wachezaji wa Chelsea na kuporomoka kwa matokeo yatakayoifanya Chelsea ibebe hilo kombe la EPL.
Chelsea ibadilike iache "dark art" na icheze soka mwanana.
Chelsea haihitaji "kufanya uhuni, mbinu chafu na referee-mobbing" linganisha na timu za Man City, Arsenal, Liver, Tottenham zilivyo katika hayo. Ukiacha hayo,Chelsea ina kikosi chenye wachezaji wazuri tu. Itawasaidia sana kama watacheza attacking football badala ya hii mbinu ya kupoteza muda na ku-pack basi.
Kwa kweli ubingwa wa EPL uko katika himaya/mamlaka ya Chelsea kuukataa.