Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

DK 103,CHELSEA 2-PSG 1.
Any question or suggestion?
 
Kaka unaonaje hiyo nafasi ya Drogba ingechukuliwa na Remmy, Naona kama Drogba ni mzito kiasi
drogba kwa sasa hana makali zaidi ya remmy,hapa morinho alichoangalia ni kwamba drogba anatia hamasa na kuwatia moyo wachezaji humo humo uwanjani na pia drogba anasimamisha mashabiki wa nje.remmy mwepesi ila mrorinho katumia ushawishi wa drogba
 
Sema tu kwakua ilikuwa Birth Day yake kaamua tu HBD Drogba ha ha haaa
 
Viol ushindi ni ushindi tu no suggestion,hongeren kwa hilo ila ukiwa kama mpenda soka wapigie makofi PSG nimeipenda spirit waliyonayo.
 
Last edited by a moderator:
thanks mkuu,kutokuwa shabiki wa chelsea na kuomba tushinde ndo baraka zenyewe na kuonyesha kuwa una damu ya blue.

The special one ni motivator...ana maamuzi yake ambayo mara nyingi yanakinzana na ya wale wasiowaza kwenye dimension yake ila 85 % anafanya kile wengine wasichowaza!
 
Psg ikipata goli la pili ndo tutakuwa chelsea tumetolewa,hapa nimepiga magoti uvungi,nikimwomba mungu ya yohana,petro,musa,zakayo,nasali mpaka makamasi yamekuwa malaini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom