Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

naomba uwepo wako mpaka mwisho

Cheki anavyotia huruma...ana bahati rentboys wametembeza mpunga..

B_2OTX5UsAArzY8.jpg


B_2OTcjU8AA8aRT.jpg
 
Baada ya Ibra tu kutoka Mou ndio alipaswa kuweka striker wawili mbele, ili beki ya PSG Ishindwe kupanda, sio mbaya kwa hizi dakika hizi 30 Za extra time
 
BAK acha tu humu kuna mpenzi utaniharibia bure,lol.....ngoja game liishe,mimi kwakweli nilisema mwanzo hata kupredict magol nilishindwa,ila yote kwa yote PSG ni vidume.
 
Last edited by a moderator:
Alafu ka Nzi jukwaani kwetu kule kwa politika umekuwa adimu!

Umehamishwa kitengo?

Sitaki stress za siasa za Bongoland....nina familia na watoto wanaonitegemea, kwanini nife kwa presha na kihoro ingali bado kijana....hivyo uwa nanusa mara moja moja sana....
 
Kiwango kibovu kabisa wameshindwa kucheza kabisa kwa nguvu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom