Mie nimetoa matokeo ambayo mpira bado unaendelea kabla la 5 halijafungwa.
Mbona nawewe umedanganya uma wakati sasa ni 6 na siyo 5
Fikiria kwanza
hahaha pole baada ya sekunde furaha imegeuka huzuniafadhali leo nimemuua muhindi!!
Patamu sasa!!
Sawa kamanda,
mgepaki nye,mtashabikia sana wakati nye hata hamkutia maguu hii sectionwatu wanapaki basi wakiwa na wachezaji kamili kwenye uwanja wao wa nyumbani...halafu kocha wao anaitwa master tactician?!?
Patamu sasa!!
Sawa kamanda,
Psg wanaweza kuamua kwenda penati na ukawa ndio mwisho wetu
hahaha pole baada ya sekunde furaha imegeuka huzuni
Ni 7 -0 ikiwa ni dakika 89 ya mchezoAcha kudanganya uma. baryan muchen wamefunga 5, na siyo 4
Dah mamaeee zao hawa,mkeka chalii