Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Arsenal alikufanya nini

Hatukupaki basi chifu hata tulipokuwa pungufu....attack, attack and attack ndiyo staili ya United....

Sasa leo PSG ndiyo wanaonekana wapo kamili na rentboys wapo pungufu!!
 
Hongeren watani lakini ki haki kabisa makofi kwao PSG Kuendelea kujitahid mpka dakika ya 80 bila kufungwa.
 
DK YA 82 Cahil anaipatia chelsea goli
hii ina maana kwamba,chelsea 1-PSG 0
 
Game imekwisha hii, hongereni Wakuu kwa "ushindi mnono"
 
Nawahakikishia wale watoto wa mama mdogo hawataki tena kutuuliza maswali baada ya kufunga goli
 
Acha kudanganya uma. baryan muchen wamefunga 5, na siyo 4

Mie nimetoa matokeo ambayo mpira bado unaendelea kabla la 5 halijafungwa.
Mbona nawewe umedanganya uma wakati sasa ni 6 na siyo 5

Fikiria kwanza
 
​Nilitegemea kuona kiwango cha juu cha uchezaji kwenye mechi hii, badala yake imekuwa vurugu mechi tu.

Unajua hawa wote wanacheza vurugu tu ndio maana mpira umekua mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom