Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mou ameshabadili mbinu baada ya kutoka Ibra

Naona bado tunashindwa kutumia gap la Ibra, kwa sasa mechi ilitakiwa kuwa attacking game na sio kama ilivyokiwa mwanzo, kumtoa oscer na kumwingiza Williams bado tunaendelea na mchezo uleule, hapo ilitakiwa tuweke double striker na tucheze long pass na high balls
 
Daaaah, PSG wamemiss chance nzuri sana ila wamefanya lunalotakiwa ingawa goli halijapatikana
 
Mou ameshabadili mbinu baada ya kutoka Ibra
pamoja Ntuzu yaani raha tupu game tamu,hii nafasi wanaitamani sana Man u, arsenal wameipata ila washatolewa siku nyingi
 
Last edited by a moderator:
Hilo la kubalance red card tulipe kama 70% maana kama refa aliangalai video ya ile red card basi lazima aisawazishe, all in all inatakiwa dakika 20 za mwanzo lazima tupate goli ili tuimalize game
tuna ligi kuu,bado poa hata ikiwa draw,goli ikija ni poa sana
 
katika maisha yangu nitafia kwa ajili ya chelsea,Mungu,na debe la chapati
 
kuna friends zangu huwa wananiambia game ya chelsea huwa haivutii ila wanashinda,ndo kama wewe,unapenda show game wakati mwisho wa siku mshindi ni mwenye magoli mengi.
Ni kweli mimi napenda balanced game. Kuna mechi za chelsea ni bora kuangalia championship matches.

Hiyo unayopenda wewe , kushinda mechi bila kucheza mpira ndio wengi wanamponda Mou kwa kuharibu kabumbu kwa mbinu ya ku-pack basi.

Kama uliangalia jana Barsel na Porto. Barsel hawakukaa tu kulinda lango hata pale walifungwa...that is football. Wala Porto baada ya mabao 2 hawakujikalia na ku-pack basi...Thats is football.
 
Naona bado wanacheza na shilingi chooni, PSG wakifuma kagoli tu basi itakuwa patashika nguo kuchanika uwanjani kwa Chelsea. Dakika ya 69 bado 0-0

swadakta bado dk 45 tunategemea makuu kutoka chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom