refa anajua sisi tunasubiri matokeoIbra kaonewa kwa kweli
Chelsea timu yangu fanyeni ya maana munipatie mpunga! huyu muhindi anikome. tiyari baryan kashaua mtu. ha ha ha
Remmy pia poa tu,ila oscar asirudi ili tusicheze pungufu maana huyu refa anaweza kubalance red cardHii game sasa inabidi tutulie na kwa sababu tuna advantage ya mtu mmoja hakunanhaja sana ya kuingiza mtu kama williams, hapa sasa inatakiwa tuwe na double strikers, hivy Mou amtoe Oscer na nafasi yake i hukuliwe na Remmy
Wachezaji wa Chelsea walimzingira mwamuzi na mwamuzi gave in.... Lakini na ile acting ya Oscar pia ilimfanya mwamuzi aamini kuwa ilikuwa foul mbaya.Unfair Red card..
jirani tupe hongera tumetisha kipindi cha kwanzaDuh! Wanamasumbwi leo mmekutana ubabe ubabe...so far bado nafasi ipo ya ushindi advantage ya PSG kuwa pungufu inabidi itumike kikamilifu.
kuna friends zangu huwa wananiambia game ya chelsea huwa haivutii ila wanashinda,ndo kama wewe,unapenda show game wakati mwisho wa siku mshindi ni mwenye magoli mengi.Wachezaji wa Chelsea walimzingira mwamuzi na mwamuzi gave in.... Lakini na ile acting ya Oscar pia ilimfanya mwamuzi aamini kua ilikuwa foul mbaya.
Replays zinaonesha ni unfair red. Kalou, Uko sahihi kwa hili.
Mpaka mida hii mchezo ni wa mwendo wa jongoo.
Hilo la kubalance red card tulipe kama 70% maana kama refa aliangalai video ya ile red card basi lazima aisawazishe, all in all inatakiwa dakika 20 za mwanzo lazima tupate goli ili tuimalize gameRemmy pia poa tu,ila oscar asirudi ili tusicheze pungufu maana huyu refa anaweza kubalance red card
Remmy pia poa tu,ila oscar asirudi ili tusicheze pungufu maana huyu refa anaweza kubalance red card
refa achemke asichemke dk 90 ndo jibukweli rentboys.....
![]()
Mwamuzi anapwaya katika majukumu yake.Ibra kaonewa kwa kweli
Remmy pia poa tu,ila oscar asirudi ili tusicheze pungufu maana huyu refa anaweza kubalance red card