How is this a red card to Ibra?
![]()
How is this a red card to Ibra?
![]()
FT chelsea 0-PSG 2
i hope atamweka willian baada ya half timeMou anatakiwa kumtoa Oscar kwani anaonekana leo hayupo kwenye game na anaweza kula njano mbili kwa jinsi anvyocheza leo
Diego Costa kafanyiwa uhuni refari kanyina penati
I dont know. ...the referee overlooked
natumai oscar hatarudi aingie willianRefa alishaharibu mechi kutoa ile red,now analazimisha kubalance game.Wachezajiwa Chelsea wali-influence refa
i hope atamweka willian baada ya half time
Bora refa Umeona red card halali kabisa
Najua Morinhno half time atamtoa oscar na kumweka willian
swadakta bado dk 45 tunategemea makuu kutoka chelseaNi lazima amuingize huyu blue collar worker ili kusaidia kutunza heshima ya home court advantage na hivyo kusonga mbele.