Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Petr_Cech_scores_an_947452a.jpg

Petr Cech anajifunga LOL
 
Ulishawahi kupendwa na demu ambae hauna mpango naye lakini anakuganda kinoma! Ndio design ya huyu bibiye, kila kukicha anachowaza ni Chelsea tu nothing else! She needs to get a life.

Masa and Peasant you really made ma day.
 
Ngugu zangu kama mnataka ubingwa tafuteni kipa mwingine
 
1Louis_Saha_scores__947482a.jpg

The inquest has began after this goal - courtesy of Drog the bar
 
Ngugu zangu kama mnataka ubingwa tafuteni kipa mwingine

Nafikiri Cech anapitia wakati mgumu sana katika maisha yake ya soka, in fact tangu aumizwe kichwa hajaweza kurudi kwenye 100%. The main problem aliyonayo kwa sasa ni positioning during set plays (defenders now wana share yao kubwa tu ya blame) na villevile kwenye 50-50 challenges anaonekana kuwa mwoga kiasi ukilinganisha na kabla ya kuumia, which is very understandable. But, I would take 90% Cech any day in my time, IMO he's still among top 3 goalkeepers in PL. Form is temporary, class is permanent, Cech is capable of changing his form and we c an win the league with him btw sticks!
 
Hi JF Chelsea Fun's

Juzi tumeshidwa kumchapa Everton, magoli yote matatu tuliyofungwa yametoka kwenye set piece's, kuna dalili kwamba defence yetu inashidwa kukaba mipira inayokuja juu toka kulia au koshoto.

Je mnafikiri combination ya Terry na Cavarho katikati inayumba kwa sasa? au kutokuwepo kwa Essien ambaye huwa anacheza kama holding mid kumeathiri juzi?

Angalia Last game 4 za chelsea FC

1. Draw ya 3 - 3 na Blackburn Rovers na tukatolewa kwa penalti kombe
la ligi.
2. Kipigo nyumbani kwa Man CITY 2-1
3. Tukatoa Draw na Apoel Nicosia Nyumbani 2-2 kombe UEFA
4. Tukatoa Draw tena na Everton 3 -3 Nyumbani. Premiership.

Unaona Mtiririko wa matokeo ulivyo? inaonyesha last four games hatujacheza vizuri, jee J'tano agains Portsmouth tutarudi form yetu? toa point zako
 
Leo sikuona kasi ya mpira kwa upande wa Chelsea...........QUOTE]

Mkuu, kasi ya hawa watu imeanza kupotea kitambo sasa na inatutia huzuni sana. Siku hizi hata swezi kuangalia mechi yao, nakuwa nachungulia u results harafu nazama kwenye channel nyingine!

Mechi ya Arsenal, Chelsea hawakucheza vizuri. Kwa Man City hali ile ile, kwa Everton the same thing.

Watu wameanza kuzeeka pale - mtu kama Deco, Barack, kiwango chini. Ivanovic nae ni liability. Nimeanza kuwa na shaka pia na uwezo wa Calvaliho.

Man U wanabeba kombe tena.....so sad!
 
Ha!ha!ha!ha!aaaaa.........Good job Wacha.......! naona umewarushia pilipili hawa kina Masa, Mvina, Peasant.......kijiwe kikawa hakikaliki? Ha!haaaa....mpka wanakuweka kny Ignore list? Job well done......teheheheheeee.....ama kweli kufungwa kubaya...khaaaah!
 
She is silly sick pamoja na kuwa yuko kwenye list!
 
Leo sikuona kasi ya mpira kwa upande wa Chelsea...........QUOTE]

Mkuu, kasi ya hawa watu imeanza kupotea kitambo sasa na inatutia huzuni sana. Siku hizi hata swezi kuangalia mechi yao, nakuwa nachungulia u results harafu nazama kwenye channel nyingine!

Mechi ya Arsenal, Chelsea hawakucheza vizuri. Kwa Man City hali ile ile, kwa Everton the same thing.

Watu wameanza kuzeeka pale - mtu kama Deco, Barack, kiwango chini. Ivanovic nae ni liability. Nimeanza kuwa na shaka pia na uwezo wa Calvaliho.

Man U wanabeba kombe tena.....so sad!

Bado mapema sana Man U kuchukua kombe, pia wana matatizo mengi katika defence yao hasa tangu Frednand alipoumia, kulala 1-0 kwa aston villa wakiwa nyumbani OldTraford kunaonyesha wamekosa mtu muhimu kwenye timu yao wa kubadilisha matokeo muda wowote. Ronaldo aliweza kwa sasa Valencia bado sijamkubali - Rooney mzuri lakini lazima apata msaidizi, Bap ni mzigo pale. kwa ujumla ubigwa bado open kwa Chelsea, Man U na Arsenal.

Chelsea kweli lazima waangalie uwezo wa Ballack na Deco. pia defence hasa central mid na holding mid waangalie zaidi. nina wasiwasi January wakati Essien, Obi, Kalue na Drogba wakiondoka nafikiri tuta kwishnee.

Nina Matumaini na kocha, ntakujibu alhamis baada ya game ya Porthmouth.

Kwa sasa ngoja tuone jamaa atafanya nini kurekebisha makosa ya hizo game 4.
 
Anapopitiliza inakuwa kero!

...Hapo ndo burudani inakuja on the other side.......arsenal tukidundwa vimaneno vyenu huwa vinakera sana (upande wetu), ss tunapomind...nyie kwenu ni burudani muruaaaaaa kabisa kamanda........!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom