Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Sio kila mechi watu wanaangilia kwenye PC zao nyumbani, au mahali anapoweza kuwa buys na JF. Sometimes tunakuwa ndani ya Stamford Bridge tuki-enjoy atmosphere au, au ndani ya pub uipendayo karibu na home huku ukipata some drinks....hayo ndio maisha ya ushabiki wa soka, sio kila wakati mimacho imekutoka kwenye PC ukivizia fulani afungwe utoe utumbo wako JF....should be very stressful, especially if no one to reply your post!Khe khe khe, wewe si ulitaka kikombe November? Mara tena sio mbaya! Kwani ni lazima uwe na timu? Mlisema nitakimbia kabla ya huu mpira wa leo na mimi ndio nilikuwa na-update magoli hapa na kujaa kama pishi la udaga hadi Invisible alipokuja kuendeleza libeneke Usikonde ila ni lazima mchezo ujao mtoe kitu kidogo maana dalili ya mvua ni mawingu.
Eastlabds mlisema dreva alipotea na burungutu sasa Darajani sijui mtasema nini? khe khe khe