Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hata wilian alipokuja darajani alianza taratibu na akazoea mazingira,hata oscar labda kama ni wageni wa mpira juan atatisha.
 
Tulien vijana mpira utachezwa vzr sana pale daraajan na vijana wa the blues

Asante ma- engineer wetu, JONH TELI NA CAHILL kwa kichora plan ya goli moja tu ugenini..
 
shukrani sana Malafyale. ingawa on paper tulionekana kuwa vizuri kwa sababu 'hatukuwa' na majeruhi lkn maurinho kasema tulikuwa na majeruhi 5 ambao walicheza hivyo hivyo pamoja na majeraha yao. anasema willian, oscar, hazard na Fabregas walikuwa majeruhi na hawaja train toka mechi na Everton.ukichukulia pia na Diego nae hakuwa fit kwa kukosa match fitness no wonder timu yetu haikuwa na kasi tuijuayo. so on paper tulionekana wazuri lkn on ground hatukuwa wazuri hivyo. na kama PSG wangejua hatukuwa fit kiasi hicho wasingecheza kwa tahadhari vile. wangeshambulia sana na huenda matokeo yangekuwa tofauti kabisa. ndio maana Maurinho anasema matokeo yale ni positive results manake timu yake haikuwa fit! na anasema tuna mwezi mzima wa kujipanga kwa mechi ijayo ambayo ni ujumbe tosha kuwa mechi ijayo itakuwa chelsea tofauti kabisa na ilivyokuwa jana.

Link https://www.jamiiforums.com/sports/20023-the-chelsea-fc-thread-1115.html#post11916665
 
Sidhani mkuu
Chelsea hawajacheza vyema lkn wamepata sare tena ya kufunga bao ugenini na hii ndiyo sifa ya team bora(kupata matokeo mazuri hata kama hamjacheza vyema)
kalou Ntuzu Manumbu hongereni sana,mmefuzu tayari
Kama hii ndio tathmini yako, tathmini yako itakuwa vipi kwa ile mechi baina ya Bayern na Shakt?
Unawapa matumaini ili uje uwacheke ifikapo March?
 
Tulia wewe Nonda, acha papara, subiri muda ufike ili ushuhudie tunavyowatandika hao PSG wako na ndio utajua kuwa chelsea ni balaa msimu huu, ingawa naamini kuwa unalijua hili ila ni either ushabiki au chuki ndio vinakufanya usiyaseme ya moyoni kuhusu uwezo wa theblues. Ila mimi hunipi shida maana watu kama nyinyi lazima muwepo ili mambo yaende. Na ninaomba wapenzi na mashabiki wa chelsea mlitambue hili na msikwazwe na maneno ya huyu Nonda, ndivyo alivyo, kwahiyo mumchukulie hivyo hivyo.

FOREVER BLUE
Link https://www.jamiiforums.com/sports/20023-the-chelsea-fc-thread-1115.html#post11918161

link https://www.jamiiforums.com/sports/20023-the-chelsea-fc-thread-1116.html#post11935635

Ndio umekosa "chubuku" ya kufurahia ushindi.
Sasa subiri aibu ya March.
 
Nonda

hebu niambie timu moja ambayo hujawahi kuona wachezaji wake waki dive?

_81053437_rooney_dive_reuters_two.jpg
Mdudu Nzi amekupatia jibu ya hili au hukuridhika? Ameweka links zenye stats.
 
Nonda+Nzi team yenu ndo inaongoza kwa ku dive according to statistics, Ashely young the mostly
Lini uliona kadiyangu ya uanachama? Lini nilijitangazia upenzi wa Timu ya Nzi?

Endelea kubahatisha.
 
http://www.bbc.co.uk/swahili/michezo/2015/02/150218_rooney_radhi
Yaliyomo
Wayne Rooney aomba radhi
Saa 2 zilizopita
Mshirikishe mwenzako

Kipa Preston Thorsten
Golikipa wa timu ya Preston Thorsten Stuckmann ameeleza kuwa mshambuliaji Wayne Rooney
alimuomba msamaha baada ya kuanguka katika eneo la hatari na kupata mkwaju wa penati.
Kipa huyu alimwangusha Rooney wakati mchezaji huyo akielekea kufunga bao na kusababisha penati,
Stuckmann, alisema "Rooney aliniomba msamahani na kuniambia ilikua ni nafasi yake ya kupata penati".
"Naamini tukio kama lile lingetokea kwenye goli la Manchester United toka kwa mshambuliaji wetu refa asingeweza kutupa penati sina shaka na hilo".
"Sisemi kama haikuwa penati, nachokisema hakukua na mgongano wowote"
Rooney alifunga mkwaju huo wa penati na kuipa timu yake ushindi mnono wa mabo 3-1dhidi ya Preston.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Tulien vijana mpira utachezwa vzr sana pale daraajan na vijana wa the blues

Asante ma- engineer wetu, JONH TELI NA CAHILL kwa kichora plan ya goli moja tu ugenini..
Chelsea boss Jose Mourinho admitted his side were a little lucky to secure a 1-1 draw in their Champions League last-16 first leg tie at Paris St-Germain.

link BBC Sport - Champions League: Mourinho relieved after Chelsea draw at PSG

manager Jose Mourinho admitted his side were fortunate to come away with a draw in the first leg of their Champions League last-16 tie with Paris Saint-Germain on Tuesday as he hailed goalkeeper Thibaut Courtois.
Read more at Chelsea were fortunate, admits Mourinho - Chelsea News from football.co.uk
 
It seems chelsick fans came up with the new song...

"We're racist, we're racist and that's the way we like it."
 
Gary Lineker, presenter and ex footballer: 'Just saw the video of the Chelsea mob's deplorable behaviour and racist chants. Sickening, embarrassing, moronic, disgraceful.'

Paul Canoville, Chelsea's first ever black footballer: 'I watched it and I was in disgust, I was so angry and ashamed. We’ve done so much campaigning against the very issue of racism and this happens and it’s brought it all right back down. I don’t care if it’s the minority because regardless of that it is connected to the club and when you mention Chelsea this will be the response. I can’t believe this has come about.'

Stan Collymore, pundit and ex footballer: 'Chelsea fans. Save your spite for those on the train, I'm sure you'll want to see them banned from holding season tickets at your club.'

Jason Roberts, pundit and ex footballer: 'I hope that every black Chelsea Player watches that.'

Sepp Blatter, FIFA president: 'I also condemn the actions of a small group of Chelsea fans in Paris. There is no place for racism in football.'

Ian Wright, pundit and ex footballer: 'Chelsea what you gonna do? Your club has been linked to racism for so long! What have you done? Put a couple of signs up in your ground? Those guys on the train remind me of my childhood. Chase you with their mates! But when alone and confronted, I've seen them cry.'

Jake Humphrey, presenter: 'So embarrassed by that video of English football fans abroad. Notice how they celebrate their own players regardless of their colour? ------.'

Nicolas, a Jewish football fan in Paris: 'The yid chants were very easy for us to understand, and it is clear what they meant by the hissing too. They were acting like it was funny, but there is nothing funny about the Holocaust.'
 
Yes he said sorry coz he saw the goalkeeper coming and had to get out of the way....evasive action to avoid injury! A foul is not necessarily contact in football even intention can be deemed a foul

Ndugu yangu...hawa jamaa sijui wanataka waeleweshwaje?

Nimewauliza kwahiyo walitaka Rooney avunjwe mguu?

Wanajifanya vichwa ngumu; maana wanajua kuwa any malicious intent to harm your opponent katika soka ni foul...
 
Mourinho;

Nitajie timu moja ambayo mashabiki wake hawajawai kuwa accused na Racism?
 
Last edited by a moderator:
Nzi;

"Rooney told me: 'Sorry, it was my chance to get a penalty. I had to use that'," Stuckmann told The Sun
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom