Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Edson

Na wewe ukaimbe tu kama John Komba na K. Kopa. Hapa tunazungumza kabumbu.

Uzuri ni kuwa ufunguo wa hili jukwaa anao Ntuzu, ndugu yangu na Kalou, rafiki yangu.

Nipo hapa napiga kambi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
mnaliiba au ?

yes. tunaliiba kwa kuwapig mabao timu zote ziakazokuja mbele yetu, tena wewe na halaiki ya wasiotutakia mema mkishuhudia na msiwe na la kufanya zaidi ya kujaza mioyo yenu na hasira na chuki na wivu!!
 
Nonda

Kaka hataukitchukia vpi usijaribu kuweka maneno yako kwenye vinywa vya wenzako.

Wewe kama una bifu zako zesemee wewe mweyewe. hakuna sehemu ambayo Maurinho anasema kaweka mbinu za rugby au mieleka kwenye uchezaji wa Chelsea.

Kama huipendi Chelsea sio lazima uje humu jukwaani. hayo unaweza kwenda kuyasema kwa wenzako wasio na mapenzi na Chelsea na watakupiga likes lukuki.

Hapa kama ni criticism ziseme kwa maneno yako mwenyewe na kwa thinking yako mwenyewe sio kuweka maneno yako kwenye vinywa vya wengine, thats so cheap man!
 
Last edited by a moderator:
Nonda;

Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana ila hatuwezi kukulaumu kwa sababu ndio uwezo wako huo. Kwa taarifa yako team zinajarobu kusajili wachezaji bora hii yote ni kuhangaika kutaka kupambana na chelsea na kuchukua nafasi inayomilikiwa na chelsea kwa muda huu ni hiyo si nyingine bali ni nafasi ya kuongoza ligi.

Hakuna asiye jua katika ulimwengu wa soka kuwa chelsea this season ni hatar sana. Kumbuka katika mpira kuna mbinu nyingi ndio maana kunawachezaji hufunga goli kwa kushi na likaesabiwa kuwa ni goli.

Kama kwa mawazo yako unaona chelsea wanadive sasa wewe na team yako taften mbinu ya kuwazuia wasidive

Labda nikuulize toka lig ianze chelsea inashinda kwa kudive? kudive ndo goli? au kila wanapodive chelsea inapewa ponit ngap?.
 
Last edited by a moderator:
Saa 22:45pm kaa mkao wa kuwaona wanaume wakikata ticket ya kuingia semi-final. Na cio team yako inayoishiaga robo. Come on THE BLUES.

inaonekana kila mwaka mnalichukua hili kombe
 
Saa 22:45pm kaa mkao wa kuwaona wanaume wakikata ticket ya kuingia semi-final. Na cio team yako inayoishiaga robo. Come on THE BLUES.


Tulia wewe Nonda, acha papara, subiri muda ufike ili ushuhudie tunavyowatandika hao PSG wako na ndio utajua kuwa chelsea ni balaa msimu huu, ingawa naamini kuwa unalijua hili ila ni either ushabiki au chuki ndio vinakufanya usiyaseme ya moyoni kuhusu uwezo wa theblues. Ila mimi hunipi shida maana watu kama nyinyi lazima muwepo ili mambo yaende. Na ninaomba wapenzi na mashabiki wa chelsea mlitambue hili na msikwazwe na maneno ya huyu Nonda, ndivyo alivyo, kwahiyo mumchukulie hivyo hivyo.

FOREVER BLUE
 
Last edited by a moderator:
Nonda

We jamaa usidanganye watu kwanza ukaliman umeujua ln wakati somo la kiinglishi una E matokeo yako nnayo umepata PASS
 
Last edited by a moderator:
We jamaa usidanganye watu kwanza ukaliman umeujua ln wakati somo la kiinglishi una E matokeo yako nnayo umepata PASS
Unadanganya mimi sijaenda hata shule.
Mjini shule, ndio shule niliyopitia.
 
successor

Mkishinda leo, namletea "chibuku" uburudike nafsi yako.
 
Last edited by a moderator:
Nonda

hebu niambie timu moja ambayo hujawahi kuona wachezaji wake waki dive?

_81053437_rooney_dive_reuters_two.jpg
 
Last edited by a moderator:
kalou

Kumbe kukwepa daluga la kipa nako ni kudive?! Sasa ulitaka avunjike mguu ama?
 
Last edited by a moderator:
Rentboys bana, kama wamedata..mimi naongelea tukio la jana, nyiye mnaleta historia za mwaka 47!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom