Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nitajie timu moja ambayo mashabiki wake hawajawai kuwa accused na Racism?

Kwa hiyo kama timu zingine mashabiki wameshawahi kuwa racially abused, ni sawa kwa rentboys kufanya racial slurs?

Mh! Mzee logics zako kiboko! Hivi mkuu hajakukumbuka ukuu wa wilaya? Maana ungefaa sana kuwa mkuu wa wilaya 😂😂😂
 
Wana historia kubwa kwenye ubaguzi kuliko vikombe

- In 2003, a poll in the Times newspaper said 47% of Chelsea fans have witnessed racist behaviour among their fans.

- In 2007, a section of Chelsea fans were heard singing racist and anti-Semitic chants towards new manager Avram Grant

- In 2008 Patrice Evra was banned for four matches and fined £15,000 for his role in a post-match fracas with the Chelsea groundsman. It was alleged that Sam Bethell had called Evra a "f***ing immigrant" and although the club were fined £25,000 for the attack, the allegation of racism was dismissed.

- John Terry was banned for four matches for racially abusing QPR defender Anton Ferdinand in a match in October 2011.

- In the 2011/12 season, Chelsea had the most supporters arrested for racist or indecent chanting (23 fans).

Na hizi ni za juzijuzi tu hapo, miaka ya 1980's walikua wanajulikana na hizi tabia tu, maana kipindi hicho hawakua na sugar daddy wa kuwanunulia ushindi. "Many were skinheads; footsoldiers of extreme right-wing parties such as the National Front and the British Movement."
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Le Tamkooooz toka kwa mkuu was Wilaya ,

http://www.chelseafc.com/news/latest-news/2015/02/club-statement-.html

Chelsea Football Club is appealing for witnesses regarding the reported incident on public transport in Paris yesterday (Tuesday).

To help us with our investigations and to identify those persons involved, we ask those who were present to forward their observations, in the strictest confidence, to customer.services@chelseafc.com

The club has released the following statement regarding the reported incident:

'Such behaviour is abhorrent and has no place in football or society. We will support any criminal action against those involved in such behaviour, and should evidence point to the involvement of Chelsea season ticket holders or members the club will take the strongest possible action against them including banning orders.'
 
Nothing new from the most racist club in UK...

http://www.ibtimes.co.uk/chelsea-supporters-arrested-racial-chanting-five-home-405314
 
Nzi;

"Rooney told me: 'Sorry, it was my chance to get a penalty. I had to use that'," Stuckmann told The Sun

Striker yoyote hawezi kuachia chance ya kupata penati...Rooney took his chance!
 
Last edited by a moderator:
Wana historia kubwa kwenye ubaguzi kuliko vikombe

- In 2003, a poll in the Times newspaper said 47% of Chelsea fans have witnessed racist behaviour among their fans.

- In 2007, a section of Chelsea fans were heard singing racist and anti-Semitic chants towards new manager Avram Grant

- In 2008 Patrice Evra was banned for four matches and fined £15,000 for his role in a post-match fracas with the Chelsea groundsman. It was alleged that Sam Bethell had called Evra a "f***ing immigrant" and although the club were fined £25,000 for the attack, the allegation of racism was dismissed.

- John Terry was banned for four matches for racially abusing QPR defender Anton Ferdinand in a match in October 2011.

- In the 2011/12 season, Chelsea had the most supporters arrested for racist or indecent chanting (23 fans).

Na hizi ni za juzijuzi tu hapo, miaka ya 1980's walikua wanajulikana na hizi tabia tu, maana kipindi hicho hawakua na sugar daddy wa kuwanunulia ushindi. "Many were skinheads; footsoldiers of extreme right-wing parties such as the National Front and the British Movement."

Aisee....kumbe wana ka history!
 
Ndugu yangu...hawa jamaa sijui wanataka waeleweshwaje?

Nimewauliza kwahiyo walitaka Rooney avunjwe mguu?

Wanajifanya vichwa ngumu; maana wanajua kuwa any malicious intent to harm your opponent katika soka ni foul...

Stuckmann, alisema "Rooney aliniomba msamahani na kuniambia ilikua ni nafasi yake ya kupata penati".
"Naamini tukio kama lile lingetokea kwenye goli la Manchester United toka kwa mshambuliaji wetu refa asingeweza kutupa penati sina shaka na hilo".

"Sisemi kama haikuwa penati, nachokisema hakukua na mgongano wowote"
 
Wabaguzi fc timu limejaa vichaa from fans to players mnastahili kuwa na epl tittles 4 tu mnatafuta laana waulizeni wa dutch mpaka leo kombe la dunia wanaenda kushiriki tu
 
Huu ni upepo tu nao utapita na chelsea will stay on table this season...maana kila opponent akiingia kwa jukwaa letu karibia wote wanatuombea mabaya muda wote...mshindwe
 
Wabaguzi fc timu limejaa vichaa from fans to players mnastahili kuwa na epl tittles 4 tu mnatafuta laana waulizeni wa dutch mpaka leo kombe la dunia wanaenda kushiriki tu

Hiyo chuki yako kwa chelsea ni kwa Kuwa huna jinsi ya kuikabili katika mbio za ubingwa hivyo unamalizia hasira nje ya uwanja kwa kuikashifu. Musimu huu mtaishia kushuhudia chelsea ikibeba taji. Naomba tufahamishe club unayoipenda Uingereza!
 
Nashukru sana uwepo wa opponents katika jukwaa letu maana Wanatusaidia kujua watu wengine ndani na nje ya uwanja wanaizungumziaje chelsea. Asante sana haya ndio maendeleo ya chelsea katika katika uwazi
 
Chelsea boss Jose Mourinho admitted his side were a little lucky to secure a 1-1 draw in their Champions League last-16 first leg tie at Paris St-Germain.

link BBC Sport - Champions League: Mourinho relieved after Chelsea draw at PSG

manager Jose Mourinho admitted his side were fortunate to come away with a draw in the first leg of their Champions League last-16 tie with Paris Saint-Germain on Tuesday as he hailed goalkeeper Thibaut Courtois.
Read more at Chelsea were fortunate, admits Mourinho - Chelsea News from football.co.uk

Ni vizuri nikukumbushe kuwa mpaka jana chelsea alikuwa 3-1kwenye uwanja huo halafu mechi ya marudiano darajani Psg alilamba mbili bila mujibu. Hivyo hiyo sasa ya mwaka huu tunahesabu kuwa tumepita
 
March haiko mbali , utajua kama umepita au umekwaa kizingiti.
Mlikuwa na ndoto nne. Sasa zimebakia tatu. Zitadondoka maja baada ya nyingine mpaka mtaelewa kuwa hizo ni ndoto!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom