Unafurahia sare?Hulali! Umekuja kuleta umbeya km midia ya Sky.....hahahaaaa, kwaheri Nonda.......
Kipigo kinakuja darajani.
Unafurahia sare?Hulali! Umekuja kuleta umbeya km midia ya Sky.....hahahaaaa, kwaheri Nonda.......
Hiyo inakupa tamaa kuwa ya mwaka jana, yatakuwa ya mwaka 2015?
Mjitayarishe tu kwa kusononeka.
Tusubiri PSG atakapokuja darajani, tutapata majibu. Au unasemaje?Kocha wa PSG ameonysha woga kwa kuweka mabeki watatu akiwa nyumbani kwake na hakuwaruhusu wachezaji wake kufunguka km wawezavo ila walifunguka pale walipopata nafasi....unategemea akija darajani atafanya nini zaidi km kwake ameonyesha woga?
Kocha wa PSG ameonysha woga kwa kuweka mabeki watatu akiwa nyumbani kwake na hakuwaruhusu wachezaji wake kufunguka km wawezavo ila walifunguka pale walipopata nafasi....unategemea akija darajani atafanya nini zaidi km kwake ameonyesha woga?
Mdudu lala kesho uwahi kariakoo....
Bofya link ufurahi BBC Sport - Chelsea park bus before even kicking off at Paris St-GermainHulali! Umekuja kuleta umbeya km midia ya Sky.....hahahaaaa, kwaheri Nonda.......
Malahaba dugu.
Kalibu kwa jukwa la Ntuzu.
Hiyo inakupa tamaa kuwa ya mwaka jana, yatakuwa ya mwaka 2015?
Mjitayarishe tu kwa kusononeka.
Really? Mabeki watatu tu? Thiago Motta na Cabaye majeruhi, ulitaka ampange nani kwenye nafasi aliyocheza Luiz?
Me nadhani Chelsea ndio walikua waoga, walicheza kwa kujihami sana na waliogopa kushambulia PSG dhaifu namna ile. Leo ilikua siku nzuri ya kuwachapa hawa jamaa kwa sababu ya mapungufu yao, nadhani nyie mlienda kuwafunza "how to park the bus accordingly"
Hivi kama Lucas, Motta na Cabaye wangekua fit kucheza leo, unadhani match ingeisha hivi?
Na wale jamaa zenu pale mbele, Costa, Hazard na Willilan wamepiga mashuti mangapi golini?
Na yule Cahill kawa kichochoro, JT na uzee wake ni mzuri mara mia ya huyo kijana
Chelsea kwa mechi ile kweli wamecheza kioga sana.
Sio ile chelsea inayoshambulia sana na kupata kona nyingi ambazo huzalisha magoli kupitia mabeki zake.
Costa alicheza leo kama si foward.
Chelsea walipopata goli tu basi wakajua mchezo umeisha, kinachoiangusha Chelsea mara nyingi UEFA ni kutegemea kufunga goli wakiwa Stamford kitu ambacho si kizuri hata kidogo, msimu uliopita tulipita kwa bahati, ila tulipoenda kule Vicente tukacheza defence na pale stamford kila mtu anajua tulichofanywa na Atletico.
ila on personal ground sijui kama Cuadrado ni mzuri kama ilivyoandikwa. nadhani naanza kukubaliana na sijui Malafyale au RRONDO kuhusu ubora wa huyu jamaa. labda expectations zimekuwa kubwa sana au bado yuko nervous lkn nadhani si wa kiwango cha Willian na certainly sio wa kumbadilisha Hazard.
Sijui the Blues wenzangu mnalisemeaje hili
Kocha wa PSG ameonysha woga kwa kuweka mabeki watatu akiwa nyumbani kwake na hakuwaruhusu wachezaji wake kufunguka km wawezavo ila walifunguka pale walipopata nafasi....unategemea akija darajani atafanya nini zaidi km kwake ameonyesha woga?