Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Doh! Aisee wewe jamaa kama ningekuwa nakufundisha, ningekuwa nakupa makonzi sana.

Kwani hapa tunaongelea tukio la jana ama matukio yote ya mpira?!?

Tunazungumzia matukio yote ya mpira...wewe umedandia treni kwa mbele baada ya kuona picha ya Rooney ya Jana ..
 
Tunazungumzia matukio yote ya mpira...wewe umedandia treni kwa mbele baada ya kuona picha ya Rooney ya Jana ..

Kumbe! Ebu angalia post yangu namba 22374 nilimjibu Nando inaonyesha stats za simulation..halafu, rudi tena tujadili.
 
Last edited by a moderator:
Chelsea wakishafunga tu basi wanarudi nyuma. Sidhani kama hawa PSG tutawatoa.
Cech aanze, Remy aanze, Oscar aanze mechi ijayo hao waliokuwepo leo wakae nje tu
 
Chelsea wakishafunga tu basi wanarudi nyuma. Sidhani kama hawa PSG tutawatoa.
Cech aanze, Remy aanze, Oscar aanze mechi ijayo hao waliokuwepo leo wakae nje tu

Ebu kuwa analytical...y cech aanze...kwani courtois kazingua move ipi?oscar aanze kwenye nafasi ya nani mkuu??(todayz squad az a reference)

Remy naweza kukuunga mkono mkuu
 
Chelsea wakishafunga tu basi wanarudi nyuma. Sidhani kama hawa PSG tutawatoa.
Cech aanze, Remy aanze, Oscar aanze mechi ijayo hao waliokuwepo leo wakae nje tu

Last season hawa walishinda 3-1 mechi ya kwanza na tukawatoa..
 
Anakwenda Terry,Terry, Terry anatia kross kwa guu lake la kulia unamkuta Cahill, cahill anaachia mpira kwa zungu moja matata sn moja kwa moja kwakwe Ivanovic...anajitwisha kichwa paleeeeeeeeee ooooooooooo goooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Naam, naam naaam. Ilikua ni move moja kali sn ya mabeki wa chelsea ktk msitu wa wachezaji wa PSG. Cahill anapiga kichwa kimoja kizuri sn mbele ya beki mtukutu manywele au David Luiz na kuaipatia chelsea goli la kuongoza.

PSG darajani watakuja virago vyao.... maana siku hiyo mpira watautafuta kwa tochi....leo tu kwa woga wao wameweka beki wa kati watatu sasa darajani si wataweka timu yote mabeki....hahahahahaaaaaaaaaaa.
 
Kumbe kukwepa daluga la kipa nako ni kudive?! Sasa ulitaka avunjike mguu ama?
Hakuwa anakwepa daluga.
There was no contact.It was a pure simulation. Kwa kweli jamaa aliamumua kum-fool mwamuzi kwa kuburuza buti yake kwa majani na baadae kujirusha hewani kama dolphin link Jumping Dolfin by Did2009 on DeviantArt

Kwa ufupi, mwamuzi "alifanya yake." kitu kilichopelekea kuua mori ya wenyeji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom