Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

London's Metropolitan Police has said it is taking the Paris Metro incident "very seriously".
In a statement it said it would assist the French authorities to identify the people involved and support them in any action they chose to take.
Chelsea FC said it would help police, and any fans involved faced a ban.
A spokesman for the club said the fans' actions had "no place in football or society".

Link BBC News - Paris Metro racist abuse victim calls for Chelsea fans' punishment
 
Hilo tukio halijafanywa na club ya chelsea, linawahusu mtu au watu wachache binafsi. Club ya Chelsea ni nzuri na waungwana sana ndiyo maana hawakubaliani na kitendo hicho cha watu binafsi wachache.

Kajipange upya arifu....hapo Chelshit wanahusika....hivi kwanini shabiki wa timu akitoa racist slurs kiwanjani, timu umwadhibi yeye, ila na timu inapokea bakora zake kutoka FA?!?
 
Kajipange upya arifu....hapo Chelshit wanahusika....hivi kwanini shabiki wa timu akitoa racist slurs kiwanjani, timu umwadhibi yeye, ila na timu inapokea bakora zake kutoka FA?!?

"Chelshit" kama unavyowaita wameanza kujiwekea kinga.Hawataki bakora za FA au UEFA.

Chelsea FC has suspended three people from Stamford Bridge after fans of the club appeared to prevent a black man from boarding a Paris Metro train.

Link BBC News - Chelsea FC suspends trio in 'racist' Paris Metro probe

Hakuna anayependa ubaguz hivyo lazima tuonyeshe kwa vitendo kuwa kitendo walichokifanya hao waliohuska hakifai ndo maana tumechukua hatua dhidi yao na sio tunaogopa FA
 
Nitakuja na kusema lolote lile nijisikialo ilmradi sivunji sheria za JF..

Siwezi kuumia kwa bunch of racists...
Nzi katika ubora wake ...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Shitty club with bunch of racists...

Babu wenu alieondoka OT na sifa za kuchukua makombe Mzee Alex F na nguli wenu David Beckham walifunga safari na kuacha shughuli zao mpk jiji Paris kuangalia SHITTY CLUB km ulivosema, hii ikiwa na maana kwamba na wao ni mashitty kwasababu wamekwenda kuangalia shitty club......teh teh teh teh mdudu acha hizo wewe.....Chelsea timu kubwa weye, ndio gumzo ya dunia wewe.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Ukubwa wa timu haupimwi kwa msimu mmoja tu, huwezi kulinganisha utukufu wa Man U na Chelsea ndani ya England.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ukubwa wa timu haupimwi kwa msimu mmoja tu, huwezi kulinganisha utukufu wa Man U na Chelsea ndani ya England.

Sasa wewe kwani chelsea imetamba msimu mmoja, kwanza statistically we the best team in epl 4 the past 10 years
 
Ukubwa wa timu haupimwi kwa msimu mmoja tu, huwezi kulinganisha utukufu wa Man U na Chelsea ndani ya England.

Kama unafuata miaka ya zamani basi inabidi tuende jumba la makumbusho tukaiangalie hiyo man u siyo kwenye uwanja wa kandanda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom