Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni sana kwa kupigana,hakika mmepata point muhimu mno ktk ligi hii na kikubwa zaidi mumewasimamisha Man City wasiwakaribie

Hongereni sana Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Morinho mwoga sana

Mou anatetea kama kuku anaetaka kutaga yai. Analalamika kama mjamzito. Angalia makocha wote wa EPL. hawana hii tabia aliyonayo Mou.Makocha wingine hutoa joto lao mara chache sana lakini Mou anajenga hii tabia ya kulalamika na hii haileti sura nzuri ya kimichezo. Anatafuta huruma za waamuzi.
 
na tabia hii alikuwa nayo hata Spain na Italy ndio maana kumemshinda karudi England ambapo huwa anakuwa entertained!
 
Kalou na Ntuzu , vipi mambo? Mnasemaje kuhusu matokeo ya leo?

Mmefurahi au matokeo yanawasononesha?

Bado mna tamaaa ya ndoo?
Ndoo ipi? Ile ya wafungwa kule Segerea?
 
Morinyo angefundisha timu ya ligi kuu tz lazima marefa wa bongo wangemsababishia augue kichaa.
 
wakuu leo tumecheza mpira mbaya sana sijui kwa nini ??

Umecheza last saturday, then on tuesday ukawa na very very big game ambayo ukacheza dakika 120 kwa kiwango cha juu sn.............alafu siku 4 kutoka j4 unakutana na timu kubwa tena iliyopumzika tangu tarehe 24 walipocheza mchezo wao wa mwisho.......na hii timu inakuja ikiwa na vitu mambo matatu inayazingatia sn. Kwanza wanakumbuka msimu uliopita ni chelsea ndio timu pekee iliyowavunjia rekodi yao ya kutokufungwa kwao pale Etihad. hivo wanakuja na hasira na juhudi zote na wao kutaka kulipiza kisasi. Pili wao ndio mabingwa watetezi na wanapambana kulitetea kombe lao. Tatu km wangefungwa leo basi tofauti ya point kati ya Chelsea na City ingekua 8 kitu ambacho wasingekua tena katika mbio za kuwania ubingwa....ktk mazingira km haya unategemea City angekuja akacheza mpira wa aina gani? Tunatakiwa kuipongeza sn timu yetu ata kwa kupata hio droo kutokana na sababu ziliopo hapo juu.......bado hapa sijazungumzia mambo ya media na FA na Costa. Ni hatari mkuu.
 
Hongereni sana kwa kupigana,hakika mmepata point muhimu mno ktk ligi hii na kikubwa zaidi mumewasimamisha Man City wasiwakaribie

Hongereni sana Ntuzu

Asante sn mkuu.... Umemuona remy?

Teh teh teh, Ntuzu alituahidi ushindi leo, sijui yuko wapi?

Nipo mkuu.....mambo hayajawa mambo.....ata hivo ni nzuri kuliko kupoteza
 
Last edited by a moderator:
Umecheza last saturday, then on tuesday ukawa na very very big game ambayo ukacheza dakika 120 kwa kiwango cha juu sn.............alafu siku 4 kutoka j4 unakutana na timu kubwa tena iliyopumzika tangu tarehe 24 walipocheza mchezo wao wa mwisho.......na hii timu inakuja ikiwa na vitu mambo matatu inayazingatia sn. Kwanza wanakumbuka msimu uliopita ni chelsea ndio timu pekee iliyowavunjia rekodi yao ya kutokufungwa kwao pale Etihad. hivo wanakuja na hasira na juhudi zote na wao kutaka kulipiza kisasi. Pili wao ndio mabingwa watetezi na wanapambana kulitetea kombe lao. Tatu km wangefungwa leo basi tofauti ya point kati ya Chelsea na City ingekua 8 kitu ambacho wasingekua tena katika mbio za kuwania ubingwa....ktk mazingira km haya unategemea City angekuja akacheza mpira wa aina gani? Tunatakiwa kuipongeza sn timu yetu ata kwa kupata hio droo kutokana na sababu ziliopo hapo juu.......bado hapa sijazungumzia mambo ya media na FA na Costa. Ni hatari mkuu.
Tuko pamoja mkuu idea ya mpira unayo hawa wengine wapayukaji tu
 
Jose Mourinho: Chelsea boss fails to face media after Man City game

Link BBC Sport - Jose Mourinho: Chelsea boss fails to face media after Man City game

Mourihno has to go home proudly!Costa-less and Fabrigas-less Chelsea to force a draw with Man City was not an easy task Nonda!Hakika mipango ya The Special one imetimia hakupenda hawa City wamkaribie na imekuwa hivyo!

Haina haja kukimbia waandishi wa habari Mourihno
Ntuzu agosti 8 Manumbu kalon mnahitaji mjivunie draw hii!Angekuwepo Costa tu hawa Man City wangelala
 
Chelsea haimtegemei Costa tu,ndo maana bado kilichoharibika
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom