Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

nyie ndio mnaoongoza kwa kutukana watu wapoongea msichopenda kusikia.... Ntuzu mimi juzi juzi tu niliwatolea uvivu maanake nilijaribu kuwa mstaarabu kuna wajuaji wakaanza kunitukana.

Kiongozi kule watu ni wehu wanafikia hatua ya kutukanana wao kwa wao we unafikiri mchezo mkuu? ni huyu tu ndio yuko huru na baadhi ya washikaji mnaweza mkapiga nao story kidogo lkn wengine ni wehu kule.
 
Last edited by a moderator:

Malafyale MosDef hawana shida....sasa hao wengine hao,yaani anaweza kukurupuka huko akakutukana tu kisa labda umesema timu yao mbovu, mtu unavumilia ila mwisho unaamua kuwaonyesha kuwa kila mtu anaweza kutukana
 
Ndio mambo mkuu. Ok badae kidogo kiongozi wacha mimi ni sign off.
 
Last edited by a moderator:
Ndani ya Stanford bridge..!!!
 
Attachments

  • 1422791818314.jpg
    1422791818314.jpg
    17.4 KB · Views: 85
Malafyale MosDef hawana shida....sasa hao wengine hao,yaani anaweza kukurupuka huko akakutukana tu kisa labda umesema timu yao mbovu, mtu unavumilia ila mwisho unaamua kuwaonyesha kuwa kila mtu anaweza kutukana

Njooni kule mfaidi demokrasia!Kule hata minorities kwenye soka hasa wanawake wanaruhusiwa kutoa mawazo yao

Hapa bila ruhusa ya Ntuzu na anumbu post tako inatolewa kama kule kwingine bila ruhusa ya RRONDO na Mentor hutakiwi ku post chochote
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi kule watu ni wehu wanafikia hatua ya kutukanana wao kwa wao we unafikiri mchezo mkuu? ni huyu tu ndio yuko huru na baadhi ya washikaji mnaweza mkapiga nao story kidogo lkn wengine ni wehu kule.

Kule kuna uhuru sana karibuni jamani!Hata Viol anatutukana lkn tunamvumilia tu kama nyie kwa Wacha 1 ehehehe
 
Last edited by a moderator:
Kule kuna uhuru sana karibuni jamani!Hata Viol anatutukana lkn tunamvumilia tu kama nyie kwa Wacha 1 ehehehe

Mkuu acha hizo bhana mi nimetusi Mara moja humu nikawaambia samahani baada ya hapo sikurudia
 
Last edited by a moderator:
Haina maana kama FA hawataki morinho akaongee na vyombo vya habari kwa uhuru maana wanamlazimisha aseme FA wanavyotaka. Ndo maana kaona haina maana kuongea na vyomba vya habar...atasema nn huko wakati kashatishwa..uhuru wa kuongea na vyombo vya habari kwa maoni yake kazuiriwa nini maana yake...wametumia video kumuhukum costa...lakin cjui video haion ile vile costa alivyokanyagwa ndani ya penalt na refarii kukataa kutoa penalt...nadhan camera hazikuona pia!!!!ziliona tu vile costa alivyomkanyaga fulan.

Kocha wetu kaamua kukaa komya again maneno yamevuma et anakimbia media kwa hiyo nyie opponent mnataka morinho afanye lip muone kuwa kafanya vema?
 
Siku zote mti wenye matunda ndio upigwao mawe...FA wameamua nao wajulikane kuwa wapo kipitia morinho pole yao huyo ni special one hakuna mwingine dunian kote yuko peke yake
 
Chelsea ikishinda utasikia wakisema "mmecheza na timu mbovu au bahat yenu flan hakucgeza, tukifungwa oohh chelsea hamna team, tukitoa draw utawasikia mnabahat mlikuwa namfugwa leo"

basi cc tuwajuavyo nyie tunabaki kucheka tu maana siku zote wambea hupenda sana kuikejeli na kuiongelea Chelsea badala ya kuzungumza ya kwao.
 
Njooni kule mfaidi demokrasia!Kule hata minorities kwenye soka hasa wanawake wanaruhusiwa kutoa mawazo yao

Hapa bila ruhusa ya Ntuzu na anumbu post tako inatolewa kama kule kwingine bila ruhusa ya RRONDO na Mentor hutakiwi ku post chochote

Kaka hapa hatuna ubaguzi. wala hatuna sababu ya kumbagua yoyote. tayari sisi ni namba 1 sasa tumbague mwingine wa nini? hatuna sababu wala nia ya kufanya hivyo so hatutafanya hilo. kribuni kwenye chama la watu wenye furaha. si unajua kicheko huambukiza? ukitukuta tuko kwenye mood ya furaha bila shaka tunakusaidia kurudisha mood yako pia, au vipi?
 
nimesoma sehemu Enner Valencia wa West Ham nae yuko njiani kuja darajani. kama hawa wakolombia watatua pale si haba. tutakuwa vizuri katikati kwenda mbele. Valencia nae ni mfungaji mzuri na Cuadrado ni bonge la playmaker...namtazama kama Willian vile.
 
Nonda bhana hizi habari zako naona km unatutania tu maana sio jana tu hajaongea na vombo va habari na sio yeye tu mpk masaidizi wake hakutaka kuongea na media. Matic na Remy ndio walifanya hio kz sababu za kufanya hivo Mou mnazijua nyie mnaompiga fine mara kwa mara. Sasa asipoface media mnapiga kelele za nini tena? Muachane apumzike.

Anatakaku-face media anapotaka kulalamika tu au anapokuwa wanamieleka wake wamefunja watu mbavu au miguu?

Ajifundishe kuutumia mdomo wake vizuri tu, tena awe na heshima kwa makocha, waamuzi na timu zingine.

Mourinho aweze kudhibiti "domo" lake.
Pia awafundishe wachezaji wake wawe wacheza kabumbu safi sio wacheza rugby na mieleka.
 
José Mourinho
Football manager
José Mário dos Santos Mourinho Félix, OIH, known as José Mourinho, is a Portuguese football manager and former football player who is the current manager of Chelsea. Wikipedia
Born: January 26, 1963 (age 52), Setúbal, Portugal
Height: 1.75 m
Spouse: Matilde Faria (m. 1989)
Teams coached: Chelsea F.C. (Manager, since 2013), more
Awards: BBC Sports Personality of the Year Coach Award, more
Children: Matilde Mourinho, José Mário, Jr.
 
FIFA World Coach of the Year for Men's Football
Year 1st 2nd 3rd
2010
José Mourinho (Internazionale)
Vicente del Bosque (Spain)
Josep Guardiola (Barcelona)

2011
Josep Guardiola (Barcelona)
Alex Ferguson (Manchester United)
José Mourinho (Real Madrid)

2012
Vicente del Bosque (Spain)
José Mourinho (Real Madrid)
Josep Guardiola (Barcelona)

2013
Jupp Heynckes (Bayern Munich)
Jürgen Klopp (Dortmund)
Alex Ferguson (Manchester United)

2014
Joachim Löw (Germany)
Carlo Ancelotti (Real Madrid)
Diego Simeone (Atlético Madrid)

Wins by manager
Rank Manager First place Second place Third place Teams managed
1 Jose Mourinho
1 1 1 Real Madrid, Internazionale

2 Vicente del Bosque
1 1 0 Spain

3 Josep Guardiola
1 0 2 Barcelona

4 Jupp Heynckes
1 0 0 Bayern Munich

5 Joachim Löw
1 0 0 Germany

6 Alex Ferguson
0 1 1 Manchester United

7 Jürgen Klopp
0 1 0 Borussia Dortmund

8 Carlo Ancelotti
0 1 0 Real Madrid

9 Diego Simeone
0 0 1 Atlético Madrid
 
José Mourinho
Football manager
José Mário dos Santos Mourinho Félix, OIH, known as José Mourinho, is a Portuguese football manager and former football player who is the current manager of Chelsea. Wikipedia
Born: January 26, 1963 (age 52), Setúbal, Portugal
Height: 1.75 m
Spouse: Matilde Faria (m. 1989)
Teams coached: Chelsea F.C. (Manager, since 2013), more
Awards: BBC Sports Personality of the Year Coach Award, more
Children: Matilde Mourinho, José Mário, Jr.

Ikianzishwa tuzo ya "domo", Mourinho atainyakuwa kiulaini kabisa.
Napendekeza iitwe "Domo award."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom