Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Costa anaonekana akimkanyaga Emre Can na kwa tafsiri za wengi lile tukio alilifanya makusudi, na ndio alikopatia adhabu ya kutocheza mechi 3 kuanzia ya leo. Kwangu mimi naona ni kosa la yellow card tu kama muamuzi angeliona.
Lakini match ilikua na matukio zaidi ya hilo la Costa, ndio maana labla hawa wanazi wa #Chelsea wanalalama hapa, Chelsea walinyimwa 'a clear penalty' ambayo Costa alifanyiwa faulo na akaishiwa kutukanwa tu na Martin Sketl (provocation alizosema Scholes)
Then kuna suala la Lucas na Henderson kumaliza mpira baada ya kufanya faulo walizostahili kuoneshwa kadi za njano ambazo zingewaondoa uwanjani kwa sababu tayari walikua na yellow cards.
Haya matukio yote yanaonesha ni kwa kiasi gani kasi na presha za game zilimshinda muamuzi, ukianza kuruhusu injustices kama hizo kuendelea unpunished then tegemea matukio mengine kutokea.
Costa kapata adhabu kubwa kwanza kutokana na undava wake lakini kubwa zaidi ni kutokana na muamuzi kilaza, muamuzi naye alitakiwa kuadhibiwa, lakini hili jambo limegeuzwa kama vile Costa kaua mtu uwanjani bana, it's not fair.


Hii ndio comment bora kabisa ambayo inazungumza hali halisi ilivyokuwa. Sio kama hawa wengine wanaoongea kishabiki.

Haiwezekani makosa wakifanya wengine yanaonekana sio makosa, lakini makosa hayo hayo akifanya mtu mwingine anaadhibiwa, kama unavyosema mkuu Mourinho, "its not fair"
 
Last edited by a moderator:
Oscar na William hapo Barca au Madrid watacheza namba ngapi?
Taja wachezaji wa looserfools ambao wakija chelsea watapata hata namba ya benchi.
huyo balotell mwenyew hat cardif city tu hana namba .........

Grand PA
 
_80700227_franklampard.jpg

A very small team ambayo inategemea bungs, ipo kwenye cowshed leo wanalialia kama vitoto vilivyokosa lawalawa ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mcheze mpira leo mambo ya ku-dive na mieleka hayatavumiliwa na refa. Leo ni kiboko maana tayari warning kapewa lets see what happens wenye nyumba kama jadi wamesepa.
 
Ntuzu what a depleted squad do you have?
Nathan Ake,Isaah Brown,Reuben Loftusna Andreas Chris ndiyo wafanye nn sasa game kama hii?

Mmeishiwa wachezaji kiasi hiki na mnamuondoa Salah na Schurle?
 
Last edited by a moderator:
Yaani hawa waliopigwa na Arsenal ndo wanatusumbua hivi daaah
 
Habari Chelsea wenzangu. nimefatilia mazungumzo ya Costa above. inafurahisha kuona kuwa tuna vhichwa toka Darajani kwenye benchi la ufundi, wachezaji mpaka mashabiki kwenye Jamii Forum!!! Hii inanifanya kuipenda zaidi Chelsea. sio timu ya wapiga kelele tu kama Liverpool, Man U na Arsenal. Hapa hata mashabiki ni vichwa vya maana!! hata analysis unaona zimenda shule!! hongereni sana wana blues wenzangu! Lets keep up our live and lively jukwaa. No wonder RRONDO anasema kwenye jukwaa lao la Man U hawana cha kusema kama hakuna tukio. hii ni kwa vile wao wanasubiri kupiga kelele tu...na sio ku analyse issues kuhusu timu yao hata kama hakuna 'tukio'. na timu isiyo na 'tukio' manake imekufa. haiwezekani a vibrant timu ikae bila ya kuwepo na tukio la kulizungumzia.

nausubiri kwa hamu sana ushindi wetu tunaoustahili usiku huu, despite jitihada kubwa inayofanywa kutupunguza kasi

uzuri hamnipi shida...mtu akiongea kitu kibaya kwa chelsea hata kama ni ukweli basi ni mpiga kelele. heri yako na wenzio mnaojua mpira
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom