Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

HIVI NI KWELI Ntuzu Costa hakufanya kosa lolote ila vyombo vya habari na wengineo wamezusha tu??? basi mna incompetent lawyers ambao wameshindwa kufight uzushi.....sijaona hio wala tukio lenyewe ila nashindwa kuamini kila mtu atakuwa anamchukia Costa au Chelsea kiasi hicho....kwa man utd fans kama ni kishabiki wangemtetea Costa maanake Liverpool wote ni maadui zetu balaa.

Costa anaonekana akimkanyaga Emre Can na kwa tafsiri za wengi lile tukio alilifanya makusudi, na ndio alikopatia adhabu ya kutocheza mechi 3 kuanzia ya leo. Kwangu mimi naona ni kosa la yellow card tu kama muamuzi angeliona.
Lakini match ilikua na matukio zaidi ya hilo la Costa, ndio maana labla hawa wanazi wa #Chelsea wanalalama hapa, Chelsea walinyimwa 'a clear penalty' ambayo Costa alifanyiwa faulo na akaishiwa kutukanwa tu na Martin Sketl (provocation alizosema Scholes)
Then kuna suala la Lucas na Henderson kumaliza mpira baada ya kufanya faulo walizostahili kuoneshwa kadi za njano ambazo zingewaondoa uwanjani kwa sababu tayari walikua na yellow cards.
Haya matukio yote yanaonesha ni kwa kiasi gani kasi na presha za game zilimshinda muamuzi, ukianza kuruhusu injustices kama hizo kuendelea unpunished then tegemea matukio mengine kutokea.
Costa kapata adhabu kubwa kwanza kutokana na undava wake lakini kubwa zaidi ni kutokana na muamuzi kilaza, muamuzi naye alitakiwa kuadhibiwa, lakini hili jambo limegeuzwa kama vile Costa kaua mtu uwanjani bana, it's not fair.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ndetichia karibu sn leo darajani. wewe ndio city wa ukweli ninaekufahamu. wengine wote hawatutakii mema kwasababu timu zao zimeshakufa
 
Last edited by a moderator:
Vyombo va habari vimelipoti sn juuy hili swala na mengi yamesemwa na wenye kumtetea Costa wamemtetea akiwamo Poul Schols na wenye kusema aadhibiwe wamesema na hukumu na adhabu imetolewa kilichobaki ni nikufocus mbele ktk mambo amayo yanayotukabili...lkn ktk ulimwengu wa uhuru wa maoni kila mtu anahaki ya kusema lile atakalo. lkn msimamo wa chelsea ni kwamba ile ilikua ni ajali ya kawaida kutokana na njisi move ilivokua na ndio maana Refa hakutoa au kufanya chochote kutokana na ile hali na pia Vombo vya habari kwa namna moja au ingine vimechangia ktk kuisukuma FA kuchukua maamuzi ktk hili swal......kwasababu vilikua vinatoa hukumu kabla ya FA kutoa hukumu.

Msimamo wa Chelsea ni kukaa kimya na kuendelea na mipango endelevu yote kwasababu wakithubutu kusema lolote juu ya FA au vombo va habri basi lazima washitakiwe tena na kupata adhabu au kutozwa faini.

kwa sheria za FA refa kama KAONA na hakuamua chochote hamna anaeweza kubadili.....ila kama refa HAJAONA kwenye game kilichotokea anaonyeshwa na anatakiwa kusema kama angeona ile ina deserve kuwa violent conduct au la?? akisema NDIO mchezaji anapewa ban akisema NO hakibadiliki kitu uamuzi wake unabaki ule ule.....kwa kesi ya Costa refa kasema hakuona na alipoonyeshwa kasema Costa ana deserve red card kwa lile tukio.
 
Swala la Costa halina umuhimu tena kwetu. Tunaangalia game ya jion hii. The blues haina mchezaji mmoja tu. Anapokosekn Hazard ndo huwa nna wasi wasi sn. Mwaka jn hawa tuliwapg pamoja na kutokuwa na mfungaji wa kuamnka, sasa kukosekn kwa Costa hakutunyimi ushind wa leo

Unasema the Blues haina mchezaji mmoja then at the same time unasema anapokosena Hazard ndio hupatwa na wasiwasi, mbona unajipinga mwenyewe sasa?
Umeziona hizi stats?
1. Spain striker has been involved in 37 per cent of Chelsea's league goals
2. Chelsea's win percentage dips from 73.7% to 66.7% without Costa
 
Costa anaonekana akimkanyaga Emre Can na kwa tafsiri za wengi lile tukio alilifanya makusudi, na ndio alikopatia adhabu ya kutocheza mechi 3 kuanzia ya leo. Kwangu mimi naona ni kosa la yellow card tu kama muamuzi angeliona.
Lakini match ilikua na matukio zaidi ya hilo la Costa, ndio maana labla hawa wanazi wa #Chelsea wanalalama hapa, Chelsea walinyimwa 'a clear penalty' ambayo Costa alifanyiwa faulo na akaishiwa kutukanwa tu na Martin Sketl (provocation alizosema Scholes)
Then kuna suala la Lucas na Henderson kumaliza mpira baada ya kufanya faulo walizostahili kuoneshwa kadi za njano ambazo zingewaondoa uwanjani kwa sababu tayari walikua na yellow cards.
Haya matukio yote yanaonesha ni kwa kiasi gani kasi na presha za game zilimshinda muamuzi, ukianza kuruhusu injustices kama hizo kuendelea unpunished then tegemea matukio mengine kutokea.
Costa kapata adhabu kubwa kwanza kutokana na undava wake lakini kubwa zaidi ni kutokana na muamuzi kilaza, muamuzi naye alitakiwa kuadhibiwa, lakini hili jambo limegeuzwa kama vile Costa kaua mtu uwanjani bana, it's not fair.

Ni kweli kabisa mkuu uliyosema na hii ndivo ilikua hali halisi na refa alikua anapaswa kuadhibiwa na yeye....lkn kutokana na hili swala kua linasukumwa kinazi na FA na Media ndio maana chelsea wamekaa kimya kwasabbu wanajua wathubutu basi adhabu kali zitafata. wanafocus na mambo ya msingi......na pia mkuu Mourinho mwamuzi atakae simama kati leo ktk game yetu sio mwamuzi mzuri na chelsea iliwahi kumtuhumu huko nyuma kwa kuihujumu chelsea sasa ukiangalia hii mienendo unabaki kuwasihi wachezaji kupambana kufa na kupona bila kumtegemea mwamuzi na kucheza mpira ulio halali.
 
Last edited by a moderator:
kwa sheria za FA refa kama KAONA na hakuamua chochote hamna anaeweza kubadili.....ila kama refa HAJAONA kwenye game kilichotokea anaonyeshwa na anatakiwa kusema kama angeona ile ina deserve kuwa violent conduct au la?? akisema NDIO mchezaji anapewa ban akisema NO hakibadiliki kitu uamuzi wake unabaki ule ule.....kwa kesi ya Costa refa kasema hakuona na alipoonyeshwa kasema Costa ana deserve red card kwa lile tukio.

Basi wamuonyeshe makosa ya Lucas na Henderson wapewe adhabu na wao maana walistahili kupewa second yellow card na penati ilikua wazi basi na yeye refa wampe adhabu
 
Unasema the Blues haina mchezaji mmoja then at the same time unasema anapokosena Hazard ndio hupatwa na wasiwasi, mbona unajipinga mwenyewe sasa?
Umeziona hizi stats?
1. Spain striker has been involved in 37 per cent of Chelsea's league goals
2. Chelsea's win percentage dips from 73.7% to 66.7% without Costa

Hayo ni maoni tu ktk hizo stats.
 
Basi wamuonyeshe makosa ya Lucas na Henderson wapewe adhabu na wao maana walistahili kupewa second yellow card na penati ilikua wazi basi na yeye refa wampe adhabu

sio kila kosa....ni makosa yanayostahili red card....sio yellow wala penati.
 
Ni kweli kabisa mkuu uliyosema na hii ndivo ilikua hali halisi na refa alikua anapaswa kuadhibiwa na yeye....lkn kutokana na hili swala kua linasukumwa kinazi na FA na Media ndio maana chelsea wamekaa kimya kwasabbu wanajua wathubutu basi adhabu kali zitafata. wanafocus na mambo ya msingi......na pia mkuu Mourinho mwamuzi atakae simama kati leo ktk game yetu sio mwamuzi mzuri na chelsea iliwahi kumtuhumu huko nyuma kwa kuihujumu chelsea sasa ukiangalia hii mienendo unabaki kuwasihi wachezaji kupambana kufa na kupona bila kumtegemea mwamuzi na kucheza mpira ulio halali.

Hahahahahahaha Ntuzu, siamini bwana Mark Clattenburg ana hila na nyie, ukiacha majibu yake ya shombo kwa wachezaji, a bit arrogant but a fine referee. Muache kuamini maneno ya kocha wenu kwamba everyone is out to get you, au sio RRONDO?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha Ntuzu, siamini bwana Mark Clattenburg ana hila na nyie, ukiacha majibu yake ya shombo kwa wachezaji, a bit arrogant but a fine referee. Muache kuamini maneno ya kocha wenu kwamba everyone is out to get you, au sio RRONDO?

hawezi kuwa na kinyongo na Chelsea....ashawahi kupata tender ya kujenga driveway nyumbani Abramovich i think!!!
 
Habari Chelsea wenzangu. nimefatilia mazungumzo ya Costa above. inafurahisha kuona kuwa tuna vhichwa toka Darajani kwenye benchi la ufundi, wachezaji mpaka mashabiki kwenye Jamii Forum!!! Hii inanifanya kuipenda zaidi Chelsea. sio timu ya wapiga kelele tu kama Liverpool, Man U na Arsenal. Hapa hata mashabiki ni vichwa vya maana!! hata analysis unaona zimenda shule!! hongereni sana wana blues wenzangu! Lets keep up our live and lively jukwaa. No wonder RRONDO anasema kwenye jukwaa lao la Man U hawana cha kusema kama hakuna tukio. hii ni kwa vile wao wanasubiri kupiga kelele tu...na sio ku analyse issues kuhusu timu yao hata kama hakuna 'tukio'. na timu isiyo na 'tukio' manake imekufa. haiwezekani a vibrant timu ikae bila ya kuwepo na tukio la kulizungumzia.

nausubiri kwa hamu sana ushindi wetu tunaoustahili usiku huu, despite jitihada kubwa inayofanywa kutupunguza kasi
 
Last edited by a moderator:
Ukiona Barca na Madrid HAWAMUHITAJI mchezaji toka America kusini basi jua ni wa KAWAIDA sana!

Cuadrado angekuwa anaujua destination yake ya pili ingkuwa kwanza Spain

<<<<<Hao barca wa kawaida sana kwa chelsea>>>>>

[TABLE="width: 250"]
[TR="class: lite, bgcolor: #EEEEEE"]
[TD="bgcolor: #E9E9E9"]Games won:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9E9E9"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Games drawn:[/TD]
[TD]5[/TD]
[/TR]
[TR="class: lite, bgcolor: #EEEEEE"]
[TD="bgcolor: #E9E9E9"]Games lost:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9E9E9"]5[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: sortable, width: 519"]
[TR]
[TH="class: header, bgcolor: #2873E2, align: left"]Date[/TH]
[TH="class: header, bgcolor: #2873E2, align: left"]Match[/TH]
[TH="class: header, bgcolor: #2873E2, align: left"]Result[/TH]
[TH="class: header, bgcolor: #2873E2, align: left"]Score[/TH]
[TH="class: header, bgcolor: #2873E2, align: left"]Competition[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]27 Apr 1966[/TD]
[TD]Barcelona v Chelsea[/TD]
[TD]L[/TD]
[TD]2-0[/TD]
[TD]Fairs Cup[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #EEEEEE"]
[TD]11 May 1966[/TD]
[TD]Chelsea v Barcelona[/TD]
[TD]W[/TD]
[TD]2-0[/TD]
[TD]Fairs Cup[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25 May 1966[/TD]
[TD]Barcelona v Chelsea[/TD]
[TD]L[/TD]
[TD]5-0[/TD]
[TD]Fairs Cup[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #EEEEEE"]
[TD]05 Apr 2000[/TD]
[TD]Chelsea v Barcelona[/TD]
[TD]W[/TD]
[TD]3-1[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18 Apr 2000[/TD]
[TD]Barcelona v Chelsea[/TD]
[TD]L[/TD]
[TD]5-1[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #EEEEEE"]
[TD]23 Feb 2005[/TD]
[TD]Barcelona v Chelsea[/TD]
[TD]L[/TD]
[TD]2-1[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]08 Mar 2005[/TD]
[TD]Chelsea v Barcelona[/TD]
[TD]W[/TD]
[TD]4-2[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #EEEEEE"]
[TD]22 Feb 2006[/TD]
[TD]Chelsea v Barcelona[/TD]
[TD]L[/TD]
[TD]1-2[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]07 Mar 2006[/TD]
[TD]Barcelona v Chelsea[/TD]
[TD]D[/TD]
[TD]1-1[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #EEEEEE"]
[TD]18 Oct 2006[/TD]
[TD]Chelsea v Barcelona[/TD]
[TD]W[/TD]
[TD]1-0[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]31 Oct 2006[/TD]
[TD]Barcelona v Chelsea[/TD]
[TD]D[/TD]
[TD]2-2[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #EEEEEE"]
[TD]28 Apr 2009[/TD]
[TD]Barcelona v Chelsea[/TD]
[TD]D[/TD]
[TD]0-0[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]06 May 2009[/TD]
[TD]Chelsea v Barcelona[/TD]
[TD]D[/TD]
[TD]1-1[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #EEEEEE"]
[TD]18 Apr 2012[/TD]
[TD]Chelsea v Barcelona[/TD]
[TD]W[/TD]
[TD]1-0[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]24 Apr 2012[/TD]
[TD]Barcelona v Chelsea[/TD]
[TD]D[/TD]
[TD]2-2[/TD]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Very very true MEANDU. Barca kwa Chelsea ni wateja tu. wala hawatutishagi na wao wanajua. siku zote tunawafunga. wanaishia kusema mmetuffunga lakini tumewakimbiza...as if wengine hucheza wakitembea!!!
 
Last edited by a moderator:
Very very true MEANDU. Barca kwa Chelsea ni wateja tu. wala hawatutishagi na wao wanajua. siku zote tunawafunga. wanaishia kusema mmetuffunga lakini tumewakimbiza...as if wengine hucheza wakitembea!!!

Nimeweka hizo kumbukumbuku ili watu waongee kwa ushahidi siyo stori tu. Hata wakimbize vipi kama wanashindwa kushinda basi kiwango kipo chini. Timu nzuri daima inashinda siyo chenga twawala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom