Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni watani kwa droo si haba kuliko kupoteza kabisa. Ntuzu kalou MEANDU #The Blues fans

hongera na wewe pia,ushindi wa man u jana umenifanya nishinde bet nikala hela,kipindi cha kwanza mmeshafunga kibao yaani moyo ulikuwa haudundi hata maana nilijua nichakwapua mshiko
 
Last edited by a moderator:
Umecheza last saturday, then on tuesday ukawa na very very big game ambayo ukacheza dakika 120 kwa kiwango cha juu sn.............alafu siku 4 kutoka j4 unakutana na timu kubwa tena iliyopumzika tangu tarehe 24 walipocheza mchezo wao wa mwisho.......na hii timu inakuja ikiwa na vitu mambo matatu inayazingatia sn. Kwanza wanakumbuka msimu uliopita ni chelsea ndio timu pekee iliyowavunjia rekodi yao ya kutokufungwa kwao pale Etihad. hivo wanakuja na hasira na juhudi zote na wao kutaka kulipiza kisasi. Pili wao ndio mabingwa watetezi na wanapambana kulitetea kombe lao. Tatu km wangefungwa leo basi tofauti ya point kati ya Chelsea na City ingekua 8 kitu ambacho wasingekua tena katika mbio za kuwania ubingwa....ktk mazingira km haya unategemea City angekuja akacheza mpira wa aina gani? Tunatakiwa kuipongeza sn timu yetu ata kwa kupata hio droo kutokana na sababu ziliopo hapo juu.......bado hapa sijazungumzia mambo ya media na FA na Costa. Ni hatari mkuu.

Hapo ndipo mnapozidi kumpa credit Sir Alex Ferguson. Lazima kocha bora anaijua vyema kazi yake asitegemee kikosi kimoja tu.
Mbona tunashuhudia timu moja inachukua vikombe zaidi ya vitatu ndani ya msimu mmoja au wao huwa hawachoki?
 
Mourihno has to go home proudly!Costa-less and Fabrigas-less Chelsea to force a draw with Man City was not an easy task Nonda!Hakika mipango ya The Special one imetimia hakupenda hawa City wamkaribie na imekuwa hivyo!

Haina haja kukimbia waandishi wa habari Mourihno
Ntuzu agosti 8 Manumbu kalon mnahitaji mjivunie draw hii!Angekuwepo Costa tu hawa Man City wangelala

Kumbe Chelsea ni mtu mmoja, akiwa majeruhi mbio za ubingwa ndio basi tena.
 
Last edited by a moderator:
[h=1]Jose Mourinho: Chelsea boss fails to face media after Man City game[/h]Link BBC Sport - Jose Mourinho: Chelsea boss fails to face media after Man City game



Nonda bhana hizi habari zako naona km unatutania tu maana sio jana tu hajaongea na vombo va habari na sio yeye tu mpk masaidizi wake hakutaka kuongea na media. Matic na Remy ndio walifanya hio kz sababu za kufanya hivo Mou mnazijua nyie mnaompiga fine mara kwa mara. Sasa asipoface media mnapiga kelele za nini tena? Muachane apumzike.
 
Kumbe Chelsea ni mtu mmoja, akiwa majeruhi mbio za ubingwa ndio basi tena.


Km mtu mmoja ndio anaunda timu basi nakubaliana na wewe lkn km sio hivo hoja ya umeandika kwa shinikizo la chuki baada ya sisi kupata draw jana maana mlipenda sn tufungwe.
 
Hapo ndipo mnapozidi kumpa credit Sir Alex Ferguson. Lazima kocha bora anaijua vyema kazi yake asitegemee kikosi kimoja tu.
Mbona tunashuhudia timu moja inachukua vikombe zaidi ya vitatu ndani ya msimu mmoja au wao huwa hawachoki?


Kwenda zako wewe na huo Ferg wako. Kwani Mou akiwa Italy alibeba makombe mangapi?

BTW bado tuko CL,Capital One final webley na EPL tunaongoza hayo makombe matatu huyaoni hapo yanakuja?
 
Kule kuna demokrasia ya hali ya juu sana!Karibuni kule


Acha uongo bhana wakati wewe mwenyewe mara kibao unatutea na wanakufukuza uje uondoke na sisi kwasababu hua unakuja huku kwetu na wao hawaji.....umeshawaona huku hao?
 
mour inabidi asajiri wachezaji wawili kabla dirisha halijafungwa beki mbadala wa teli ili nje zibaki beki mbili sub yaani cahili na mwingine hii itafanya wawili wakicheza wawili wanapumzika nje kwa ajiri ya game ijayo.Sijui kwa nn mour alimwacha benatia na mangala. sasa itabidi astrugle ampate varane au pique vinginevyo naona wakuu huko mbele kutakuwa na shida. Vilevile mor atuletee kiungo mbadala wa fabrigas unaona jana hatujacheza kabisa mpira hazard second half hajang'aa kabisa. wakuu kazi tunayo
 
Mourihno has to go home proudly!Costa-less and Fabrigas-less Chelsea to force a draw with Man City was not an easy task Nonda!Hakika mipango ya The Special one imetimia hakupenda hawa City wamkaribie na imekuwa hivyo!

Haina haja kukimbia waandishi wa habari Mourihno
Ntuzu agosti 8 Manumbu kalon mnahitaji mjivunie draw hii!Angekuwepo Costa tu hawa Man City wangelala


Hakupenda kupoteza huo mchezo hilo la kwanza na alipenda kushinda huo mchezo.....na km sio kipa kupanchi mpira vibaya City alikua anaumia.

Man City alitaka kushinda huo mchezo kwa hali yoyote ile sasa ktk mazingira km haya ni nani malengo yake hayajatimia? Na ukumbuke kwamba Manuel Pellegrini ktk kz yake ya ukocha mpk jana amekutana na Mou mara 13. Manueli Kafungwa mara 10 na yeye kamfunga Mou mara 2 na draw moja ya jana....sasa kwa stats hizo nani mbabe kwa mwenzie? Muacheni Mou afanye yake apendavo.
 
Last edited by a moderator:
mour inabidi asajiri wachezaji wawili kabla dirisha halijafungwa beki mbadala wa teli ili nje zibaki beki mbili sub yaani cahili na mwingine hii itafanya wawili wakicheza wawili wanapumzika nje kwa ajiri ya game ijayo.Sijui kwa nn mour alimwacha benatia na mangala. sasa itabidi astrugle ampate varane au pique vinginevyo naona wakuu huko mbele kutakuwa na shida. Vilevile mor atuletee kiungo mbadala wa fabrigas unaona jana hatujacheza kabisa mpira hazard second half hajang'aa kabisa. wakuu kazi tunayo


Ivanovic, Terry, Cahill, Zouma, Luis, Azzp. ukiwatoa Terry na Cahill na Luis, hao mabeki wengine unaweza kuwapanga ktk nafasi zaidi ya moja iwe beki za pembeni au kati wanacheza vzr tu. hapa unaweza ukawaongezea km Ake akawa anapata uzoefu na yeye km Zouma vile. binafsi sioni km kuna haja ya kuongeza beki hapo kwetu. Ila ule mchezo wetu wa kwanza na LFC kuna makosa Cahill alifanya ndio maana Mou anamuweka bench hii habari niliisoma sehemu moja hivi.

Faby japokua anaongoza kwa asist ktk EPL, mi nasema tumeangushwa sn na viwango va Salah na Schullre ndio maana Mou kaamu kumtoa Salah kwa mkopo na kumuuza Schullre ili amsajili yule Mkorombia na tayari amesha tua darajani....huyu nafikiri nikiungo ngoja ntafatilia mambo yake vzr ili niwe na data kamili. Lkn Ramires kadri atakavokua anacheza zaidi ndio atarudi ktk kiwango chake maana huyu ndio mbadala wa Faby hapo kati.

Na pia ukumbuke jana City alikuja kwa nguvu sn lazima uone km tulizidiwa hasa kipindi cha pili tulibadili mbinu na kuahakikisha kipa wetu hapati tabu za wachezaji wa city na ndio maana baada ya shuti la Remy lililozaa goli chelsea hawakuweza kupiga shuti jingine tena golini kwa City.
 
Tuko pamoja mkuu idea ya mpira unayo hawa wengine wapayukaji tu


Pamoja sn mkuu.

Na ukumbuke kua Man City alifungwa michezo miwili mfululizo. alifungwa na Arsenal ktk EPL na akfungwa na kitimu kidogo ktk FA....sasa ukifungwa siku zote unakua km unaamshwa na kwa matimu makubwa ambayo matajiri wameweka pesa zao za kutosha na kuwalipa mishahara mizuri wachezaji na kocha anapewa fungu la kutosha la kununua wachezaji atakao alafu unafungwa mara mbili mfululizo unategemea hiyo pressure yake itakuaje mkuu? Lazima City aje mkali km mbogo aliejeruhiwa...Safi sn Chelsea.
 
Kwenda zako wewe na huo Ferg wako. Kwani Mou akiwa Italy alibeba makombe mangapi?

BTW bado tuko CL,Capital One final webley na EPL tunaongoza hayo makombe matatu huyaoni hapo yanakuja?

ha ha ha ha ha.....
 
Kule kuna demokrasia ya hali ya juu sana!Karibuni kule

nyie ndio mnaoongoza kwa kutukana watu wapoongea msichopenda kusikia.... Ntuzu mimi juzi juzi tu niliwatolea uvivu maanake nilijaribu kuwa mstaarabu kuna wajuaji wakaanza kunitukana.
 
Last edited by a moderator:
Check out what Diego Costa sayed about the Tuesday's accident.......
Diego Costa admits he is "no angel" on the pitch
but the Chelsea striker is adamant that he has
never intended to injure other players.
The 26-year-old is currently serving a three-game
ban after television replays showed the forward
standing on Emre Can’s leg during Chelsea’s 1-0
extra-time win over Liverpool in the League Cup
last Tuesday.
"As far as what happened on Tuesday, the main
thing is when I get home I can go home and I
can go to sleep knowing that I’ve not done
anything wrong, because I never meant to do
that and it was not on purpose," Costa told the
Daily Telegraph.
"And you can clearly see that on the video. But it
is a suspension. I have to accept that, I have to
take it. Obviously I feel sad because I’m not
going to be able to help the team, to play. But I
have accept it and respect it.
"I’m not saying I’m an angel. I’m no angel. You
can see that. But every time I play I will play the
same way because that’s the way I am. That’s
what I need to do in order to support my family.
That’s my bread and butter, also that’s what I
need to do for this club and for the fans of this
club, for the supporters and for all the people
involved in this club.
"On the pitch I will always be like that. That’s my
character and I will always compete and
compete - always. I’m a different guy off the
pitch, as you can see, but on the pitch I will not
change."
Costa has faced criticism over his physical and
confrontational approach but the Chelsea striker
maintains he has no plans to change his style of
play.
"On the pitch I transform myself, I really, really
want to win," he continued.
"I want to be competitive, I want to run all over -
I want to win. I can accept defeat but I love to
win and be competitive.
"It is my job and I love it. I train all week just to
play for 90 minutes. I love playing games and so
during those 90 minutes, it’s always 100 per
cent.
"How many times have I injured someone?
Never. I’ve never injured another colleague,
another player on purpose. Yes, I’ve had loads of
incidents, maybe even more in Spain. But that’s
the way I play. I’m not going to change the way
I play because I got banned for a few games
now."
 
Chelsea Fixtures
February 2015
Show last 5 matches and coverage Competition Fixture Date Kick-off Status
Premier League Aston Villa V Chelsea
Sat 7 Feb 15:00
Premier League Chelsea V Everton
Wed 11 Feb 19:45
Champions League - Round of 16 Paris St G V Chelsea
Tue 17 Feb 19:45
Premier League Chelsea V Burnley
Sat 21 Feb 15:00
Premier League Leicester P-P Chelsea
Postponed Sat 28 Feb
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom