Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
kesho ushindi ni lazima
Bila Costa ni mechi ngumu na itafanya Fenarndihno awe anapanda mbele kusaidia mashambulizi
Nani ata stick nyuma tu kumlinda Remy?Demi pekee yake atamdhibiti
kesho ushindi ni lazima
yaani nimetembelea thread ya man u, arsenal, na lvpool hazitembea kabisa yaani mtu wa kuingia thread ya man u decembet 26 ndo unakuta coment mbili ya leo ,usiombe timu yako ipoteze muelekeo . Hongera wana chelsea members kila siku jukwaa letu watu wanaweka coments za kutosha.
Some things are blessings in disguise. good blue people mark my words. na zitadhihirika kuanzia kesho!!! Aluuta Continua. Namuona Remy akiwa na hasira na usongo wa kuprove a point and critics very wrong
NtuzuMkuu Manumbu unajua lengo la vyombo vya habari na wale wasio ipenda Chelsea wamezua hili jambo ili timu pamoja na Kocha wasipate muda mzuri wa kujiandaa na mchezo wa kesho kwasababu wameleta kitu cha kuwavuruga kabisa kwa kuleta hii kesi na vyombo va habari ndo vinakomalia kabisac.....yani hapa timu km haiko makini watashindwa kujiandaa vzr. Lkn namkubari sn Mou hajataka kuongea sn juu ya hili hii ikiwa na maana kwamba amejikita zaidi ktk maandalizi ya mchezo wa kesho na hii inatokana na kiwango kikubwa cha Chelsea ilichoonyesha siku ya J4. maana ule mpira ulikua ni wa hali ya juu tangu ligi ya EPL ianze.
Tutakosa huduma ya Fabregas kesho pamoja na Costa lkn Drogba Remy watapokezana hiyo nafasi....Nafasi ya Faby atachza Ramires.
Cuadrado Kashatua Darajani toka Fiorentina FC kwa ada ya £23.3mil
Juan Guillermo Cuadrado Bello is a Colombian footballer who played primarily as a forward for Fiorentina and the Colombian national team. He is known for his direct style of play, including pace on and off the ball, as well as dribbling skills.
![]()
![]()
![]()
yaani nimetembelea thread ya man u, arsenal, na lvpool hazitembea kabisa yaani mtu wa kuingia thread ya man u decembet 26 ndo unakuta coment mbili ya leo ,usiombe timu yako ipoteze muelekeo . Hongera wana chelsea members kila siku jukwaa letu watu wanaweka coments za kutosha.
ki msingi chelsea katika hali ya kupigwa vita kama hii ya sasa ndio huwa tunachomoka na ushindi tena wa 2-0....vyombo vya habari vya uingereza hasa hao sky sport ndio wenye kukomalia mambo......mbona hawazunguzii penati tulizokuwa tunanyimwa..leo tutaproove kwao na kwa wengine wote wenye kwenda kinyume na timu yetu teule chelsea...leo tutashinda tena vizuri mno....na baadaya dakika 90 kesho vyombo vyote vitageuka na kuanza kuandika ''no one can stop chelsea fc from being the champion........
Ukiona Barca na Madrid HAWAMUHITAJI mchezaji toka America kusini basi jua ni wa KAWAIDA sana!
Cuadrado angekuwa anaujua destination yake ya pili ingkuwa kwanza Spain
Mkuu Manumbu unajua lengo la vyombo vya habari na wale wasio ipenda Chelsea wamezua hili jambo ili timu pamoja na Kocha wasipate muda mzuri wa kujiandaa na mchezo wa kesho kwasababu wameleta kitu cha kuwavuruga kabisa kwa kuleta hii kesi na vyombo va habari ndo vinakomalia kabisac.....yani hapa timu km haiko makini watashindwa kujiandaa vzr. Lkn namkubari sn Mou hajataka kuongea sn juu ya hili hii ikiwa na maana kwamba amejikita zaidi ktk maandalizi ya mchezo wa kesho na hii inatokana na kiwango kikubwa cha Chelsea ilichoonyesha siku ya J4. maana ule mpira ulikua ni wa hali ya juu tangu ligi ya EPL ianze.
Tutakosa huduma ya Fabregas kesho pamoja na Costa lkn Drogba Remy watapokezana hiyo nafasi....Nafasi ya Faby atachza Ramires.
HIVI NI KWELI Ntuzu Costa hakufanya kosa lolote ila vyombo vya habari na wengineo wamezusha tu??? basi mna incompetent lawyers ambao wameshindwa kufight uzushi.....sijaona hio wala tukio lenyewe ila nashindwa kuamini kila mtu atakuwa anamchukia Costa au Chelsea kiasi hicho....kwa man utd fans kama ni kishabiki wangemtetea Costa maanake Liverpool wote ni maadui zetu balaa.
Kweli kabisa mkuu ndo maana hata oscar willian wa kawaida, hahaha aisee maneno ya mkosaji bwana!!!!!
Swala la Costa halina umuhimu tena kwetu. Tunaangalia game ya jion hii. The blues haina mchezaji mmoja tu. Anapokosekn Hazard ndo huwa nna wasi wasi sn. Mwaka jn hawa tuliwapg pamoja na kutokuwa na mfungaji wa kuamnka, sasa kukosekn kwa Costa hakutunyimi ushind wa leo