Kifo cha wengi harusi, lakini wenzetu wana nafuu ukilinganisha na sisi, hivyo wacha tuchapwe hata goli nne zaidi katika dakika 45 za kipindi cha pili, maybe this will speed up the process to get rid of Wenger. Kwanini Wellbeck hakuanza leo?
sawa leo mnashinda 4 - 3 mbakishe pointi 10 tu! Arsenal oyeeee!
Ntuzu nimesikia umeniita....ulikuwa unasemaje???Mkuu Manumbu King Kenny amemaliza kila kitu mkuu yani Huo ndio ukweli uliopo!
Hawa rafiki zetu kina Malafyale walishakimbia Siku nyingi sn ktk huu Uzi wetu!
Ata RRONDO nilimwambia atajificha tu na hatokuja Na mpk sasa haonekani ktk huu Uzi wetu!
Wanasubiri tupate Draw au tufungwe ndio waje wajae humu na kutupigia kelele!
Waje watupe ata pongezi jamani kwa timu yetu inavyofanya vzr! Yani wao Wanasubiri mpk misiba tu waje watoe pole?!!
Man U hii ya LVG na RRONDO irudi kileleni?This is more than a jok jamani!
Man U hata kwa Sotton Jumatatu hatoki salama
Kumbukumbu hii chelsea hamuwezi kumsahau huyu mtu
Kumbukumbu hii chelsea hamuwezi kumsahau huyu mtu
Kombe hamjakabidhiwa tu? Kombe lenu la November! Usimwambie Invisible tu wamenipa temporary entry huku khe khe ke khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh usipige kelele.