kwenye ku confirm email, inabidi nifungue wapi tena? au niende tena gmail ili niingize hiyo email mpya?Confirm kwenye email.
Kama email uliyofungulia Ni Gmail ingia kwenye email yako hiyo utakuta Kuna ujumbe kutoka AJIRA PORTAL unakuambia confirm unabonyeza itakuwa umemaliza.kwenye ku confirm email, inabidi nifungue wapi tena? au niende tena gmail ili niingize hiyo email mpya?
tuma picha tuone wapi imekwamia na msaada uanzie wapi mkuuWadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60
Jaza fields zote zilizopo pale, asilimia zitaanza kupanda taratibu...Tuma picha kwa msaada zaidi!Wadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60
Pale unapokuwa unajaza ukikosea system yenyew inakuelekeza so sijui mnakwama wap ?Wadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60
Wadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60
Bado jaza taarifa zakutosha ufike hata 88% alafu tumia Tab au Computer itakuwa rahisi sana usijaze kwa simu.Wadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60
Wapi una kwama mkuuWadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60
Bado jaza taarifa zakutosha ufike hata 88% alafu tumia Tab au Computer itakuwa rahisi sana usijaze kwa simu.
Hapa inakataa .sijui ni kwaniniKwa mfano Ajira portal wametaja Bachelor degree in Biomedical Engineering lakini mimi nina Bachelor degree in biomedical and Electrical Engineering, je hapa system ya ajira itaweza kunikubalia?
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Hapana haiwezekani kuvitoa..unaweza kuongeza tu lakini sio kuvitoaHabari za leo...
Naomben msaada nimetuma maombi ajira portal lakin Kuna mistake imetokea,,wakati naweka verification certificate haijakaa sehemu husika yaani(seve verification certificate), Ila imeenda kukaver sehemu ya academic certificate nimejaribu kufuta system inagoma kwa anaeweza anisaidie tafadhari.
Unatakiwa kuaupdate taarifa zako kwa namba ya NIDA, Je umefanya hivyo pia?
Yah iko hivyo, mwenye asilimia nyingi ana nafasi kubwa ya kuitwa, especially kuanzia 80 kwenda juu. So jitahidi kujaza taarifa zako ili uwe na asilimia za kutosha, pia usisahau kusaini Application letter yakoHivi zile asilimia walizo ziweka pale ni moja ya kigezo cha mtu kuchaguliwa kufanya usaili kama atakuwa na asilimia nyingi zaidi ya wengine au ni mbwembwe tu???
Habari JF!
Najua wahusika wanapitaga pitaga mara moja kusoma pumba zinazoandikwa humu JF, kuna nyingine zinakuwa nzuri wanazifanyia kazi ila nyingine ni pumba kabisa wanaziacha.
Pumba yangu ya leo baada kula kushiba, naishauri ajira portal ifanye upgrading ya website yao, itafute wataalam ambao wata design website ambayo itakuwa na mambo yafuatayo.
1. Kuonyesha mchakato wote wa ajira yaani kama application imepokelewa au rejected, idadi ya waliotuma maombi, screening yaani kama application imefanyiwa uchambuzi na kufanyiwa screening, ionyeshe kama MTU ameitwa kwenye interview au ametemwa na idadi ya walioitwa kwenye interview.
2. Portal iwe na uwezo wa ku-screen application based on skills za MTU maana kuna watu wameishia form 4 wanaskills za kufanya kazi za degree na kuna wenye degree wana uwezo wa kufanya kazi za diploma kwa sasa system inakagua ile education level uliojaza tu kama hai-match na tangazo unatemwa.
Lengo la system siku zote ni kuleta haki na usawa wala isiwe bias ndio maana kwny soka Siku hizi kuna VAR ili kuleta mambo sawa
Asanteni, kama nimetema pumba naomba mnisamehe nilishawahi ugua kichaa kidogo nikapona.