Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,204
- 885
Nahitaji kujua ili nifute kitu utumishi portal nifanyejw
Ajira partal au OTEAS?? Kama ni oteas bas inawezekana kabisa mimi mwenyewe nilikutwa na hiyo shida ila nikafanikuwa kudeleteHivi ina maana hakuna option kabisa ya kuremove information ambayo umeweka ndani ya muda mfupi? katika kujaza sehemu ya elimu nimejikuta nimeongeza cheti ambacho naona nikitoe, sasa hakuna sehemu ya kudelete bali kuna kuedit tu, nimeEdit nikajaza taarifa nyingine lakini matokeo yake system imecreate entry nyingine na ile ya mwanzo imebaki so nimekuwa nimeongeza tu cheti. Kuna namna ya kufanya? na je,kuna watu au line za support unaweza kuwasiliana nao?
Pia kwanini kama nafasi inahitaji mtu mwenye diploma ukiapply una degree unaambiwa huwezi kuapply, hawa jamaa wanatumia logic gani?
Ajira PortalAjira partal au OTEAS?? Kama ni oteas bas inawezekana kabisa mimi mwenyewe nilikutwa na hiyo shida ila nikafanikuwa kudelete
Inawezekana hata huko labda Kama mfumo umechangeAjira Portal
Ajira Portal
Kote koteUnatumia simu au computer kujaza taarifa zako...?
Let me checkWapigie simu kule kwenye ajira portal kuna mahali kuna no wacheki watakusaidia
Wadau natumai mu-wazima, nimeupitia huu uzi wote, maana mimi pia nilikua napata shida kila nikimtumia mtu maombi ya udereva inaandika neno failed kama ilivyokua ikimtokea mdau aliyepost huu uzi (kwenye Ajira Portal, utumishi).
kwenye upande wa hii account, huyu mdau nilimjazia taarifa zake zote muhimu za elimu ya secondary, basic driving, leseni yake ya udereva nili-upload na kozi zingine alizosomea NIT nilizi-upload hapa kwenye category ya Academic qualification. kipindi cha nyuma ilikua nikimtumia maombi yanakubali lakini tangu utumishi walivyoupdate system nikituma maombi huwa yanagoma, yanaandika failed
sasa baada ya kupitia huu uzi, naombeni msaada wenu wa mawazo (1)Je nimjazie tena taarifa zake za udereva kwenye category ya professional kama wadau wanavyosema kwamba udereva ni professional labda inaweza kukubali? (2) Je haitokua shida taarifa zake kuwa kwenye category mbili za academic na professional? maana siku hizi mtu hauna access ya kuedit taarifa kwa kuzi-delete
naombeni msaada wenu, mwisho wa kutuma maombi ni date 16/09. pia nimejaribu kuwapigia simu utumishi via help desk namba zao hazipatikani.
Piga screenshot weka hapa tuone tatizo liko wapi...!
View attachment 1568571Hii hapa mkuu, hapo kwenye category Academic Qualification
View attachment 1568571Hii hapa mkuu, hapo kwenye category Academic Qualification
Kweli mkuu hapa nilikosea nilikua najiuliza driving licence nitaiweka wapi ili ionekane, ndo nikaiwekaga hapo, bahati mbaya kabla sijaifuta system wakaupdate na kuondoa option ya kufuta. Lakini kipindi cha nyumba ilikua nikituma maombi yanakubali vizuri hivi hivi.Sasa kiongozi hata ukiangalia hiyo screen yako kweli kuna institution inayoitwa Driving Licence mkuu...?
Sawa sawa mkuu, Je leseni ya udereva inawekwa sehemu gani? Au haitakiwi kabisa kui-uploadKinachotakiwa kuwepo hapo ni Basic Driving Course Certificate, Advanced Driving Course Grade II Certificate, Ordinary Level Certificate na kama amesoma Motor Vehicle Mechanics weka Certificate yake.
Leseni ya udereva haiwekwi hapo chief. Karibu.
Sawa sawa mkuu, Je leseni ya udereva inawekwa sehemu gani? Au haitakiwi kabisa kui-upload