Habari zenu waungwana wenzangu.

Nina takribani miaka mitatu sijaingia huku Ajira Portal, leo nimejaribu kuapply naambiwa application failed nicheki requirements. Wakiwa na maana kwamba sina sifa kwa hiyo nafasi iliyotangazwa, nimejaribu kama mara nne nafasi tofauti kote inagoma cha ajabu nafasi zote hizo sifa ya mwombaji wametaja moja tu ambayo ni Bachelor Degree tena na course yangu imetajwa.

Labda kuna mahali nakosea au kuna mabadiliko katika utumaji wa maombi. Naombeni msaada wenu ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka mitatu ni mda kdogo wame update taarifa za website yao kwa sasa ivo nenda soma requirement ya iyo kazi then nenda kwenye academic qualifications make sure zina match na kazi unayoomba saiv ni sensitive sio kama miaka miwili iliyopita
 
Miaka mitatu ni mda kdogo wame update taarifa za website yao kwa sasa ivo nenda soma requirement ya iyo kazi then nenda kwenye academic qualifications make sure zina match na kazi unayoomba saiv ni sensitive sio kama miaka miwili iliyopita
Zinamatch mkuu, sijajua ni wapi nimekosea aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana unashauriwa kuedit taarifa zako zifit qualifications husika, mfano kama una digrii ukiomba kazi wanayotaka mtu wa diploma inagoma. Sasa kwa wale amboa wamepitia diploma halaf wakaenda digrii wakiomba kwa kutumia kigezo chao cha diploma wanagomewa, kwakuwa mfumo unawatambua kuwa wana elimu kubwa zaidi ya vigezo walivyoviweka.

Cha kufanya hapo kama una elimu zote mbili digrii na diploma halafu, unataka uapply kazi ya mtu wa diploma inabidi urudi kwenye taarifa zako uedit kipengele cha elimu ili usigomewe na mfumo,

Kadhalika na vipengele unavyoviona vinakukwamisha unaviedit ili mfumo usikukatae, ila angalizo usije ukavamia sifa ambazo zitaenda kukutesa kwenye usail

TAHADHARI!!!!!!
TAARIFA HII SIO RASMI, NI MBINU TU ZA KUPENYAPENYA ILI KUKIFIKIA CHUMBA CHA USAILI

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mara ya mwisho umeingia kwenye system ya ajira portal lini!??

Mfano, nina elimu ya banking and finance kwa level ya degree, nabadilishaje kwenye system!??

Rudi tena kwenye system halafu uje uchangie tena huu uzi mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom