KERO Msaada, napata changamoto kubadilisha taarifa ajira portal

KERO Msaada, napata changamoto kubadilisha taarifa ajira portal

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Gmarra

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
508
Reaction score
484
Msaada kwa anayejua namna ya kubadilisha taarifa kwenya account ya ajira portal.

Mfano, Nilijiandikisha programu category ya Bachelor of arts (BED) education yaani somo moja. Badala ya Bachelor of arts with education (BAED) yaani masomo mawili kimakosa.

Nawezaje kubadilisha taarifa maana nimepiga simu pamoja na email kwa ajira portal lakini sijapata utatuzi wa tatizo langu.

Hivyo kwa mwenye uelewa naomba msaada.
 
IMG_0358.jpeg
 
Back
Top Bottom