Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,776
- Thread starter
- #61
Alafu naomba kuuliza hivi wanaposema kwamba uattach verification certificate wanamaanisha nini???
Wanakua wanataka copy ya vyeti vyako vya taaluma viwe vmesainiwa na mwanasheria,ndo u attach pale na kama umesomea nje vtakua verified na TCU bt still watataka copy unazo attach pale ziwe verified na mwanasheria.
Naruhusu kukosolewa
Naomba mnieleweshe apa mfano ukitaka kuapply kupitia ajira portal n lazma uandike application letter uiatach kwny account yako ya ajira portal au maana apo cjaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale ukiwa ushafikisha % za kuweza kutuma maombi bas pakitokea ajira inayoendana na qualification zako hua wanakutumia email then ww una log in,utaona hyo ajira na kitu gan inataka then utaandika barua ya maombi kuna sehemeu uta attach pale coz sekta tofaut hua znatoa ajira na barua zao za maombi hua wanasema zielekezwe kwa nan so huwez kuweka moja ukaombea kote na hyo option hakuna.
Naruhusu kusahihishwa.
Nashukuru nimekupata ila nmejarbu ukueka namba ya nida yaan inaload mpk nachoka cjui tatzo nn
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂Tumia laptop na bando tumia lenye kasi achana na mabando ya jero weka lile LA 2000.
Sent using Jamii Forums mobile app