Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,553
- 12,999
hapo kwenye kusikilizwa wanaume ndo huwa twakwamatunapenda kusikilizwa,tunapenda kujaliwa,tunapenda kusaidiwa...
hapo kwenye kusikilizwa wanaume ndo huwa twakwamatunapenda kusikilizwa,tunapenda kujaliwa,tunapenda kusaidiwa...
Wanawake mnapenda pesa sanHakuna kiumbe kisichokuwa na mitihani, hata sisi mitihani tunayopata kwenu si midogo
Hata wewe unapendaWanawake mnapenda pesa san
Tuna vipaumbele tofauti. Kuna anaetaka mume wa kumridhisha yeye na companion. Awe baba wa familia washauriane. Mara nyingi wanawake wa aina hii ni watafutaji wao wenyewe. Anaweza kuwa na kibanda chake cha mama ntilie, duka, shamba au ni muajiriwa.Ili Kuondoa Hii Sitofahamu Ya Nini Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Wanaume Ningeomba Uniwekee Vipao Mbele Vyenu Ili Wanaume Tujue Mapema.
Nasema Haya Kwa Sababu Si Ajabu Mwanamke Kumkataa Mume Tajiri Kisa Ana Kibamia Akidai Hamridhishi Kunako.
Upande Wa Pili Mume Masikini Akitoswa Na Mke Kisa Kikiwa Ni Umasikini Wake Hatakama Kitandani Yupo Vizuri.
Hivyo Sky Eclat Naomba Ufunguke Hapa Hivi Ni Nini Hasa Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Mwanaume??.
Wee niko 65 yrs lkn nasimamia show mbaya vijana wenu wa chips kuku wa kisasa labda ujuzi wao ni kuchezea kwa mikono kama wapiga keyboard lkn ile etutana yango na yango Zero peleka mzigo kwa 60+we we we ivi ushawai wauliza wadada waliowahi date wanaume wanaolala baada ya kupiz mara moja tuu au mbili!! alafu dushe inagoma kusimama tena yaan ata usogezee papuchi apo wapi!! aisee unaweza kulia apo bed yaan unamuangaliaaa unataman awe mtoto uchalaze viboko.mxeeew.
sababu anakuwa ameshafariki au hajiwezi.Uzuri wa kuolewa na 60+ ni nadra sana kupata matatizo na mama mkwe
Mchawi wao alijufa akiwa kipofu, amewashindwa hata mzee wa kikombe japo walikunywa . Ndio maana watu wamekuwa Hit and Run kwaoIli Kuondoa Hii Sitofahamu Ya Nini Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Wanaume Ningeomba Uniwekee Vipao Mbele Vyenu Ili Wanaume Tujue Mapema.
Nasema Haya Kwa Sababu Si Ajabu Mwanamke Kumkataa Mume Tajiri Kisa Ana Kibamia Akidai Hamridhishi Kunako.
Upande Wa Pili Mume Masikini Akitoswa Na Mke Kisa Kikiwa Ni Umasikini Wake Hatakama Kitandani Yupo Vizuri.
Hivyo Sky Eclat Naomba Ufunguke Hapa Hivi Ni Nini Hasa Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Mwanaume??.
Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda aliloea Ulaya na amerudi, mke wa kizungu amegoma kurudi.
Hapa 60+ kuna maradhi yasiyo ambukiza mengi sana. Ukiwa mrs inabidi ukumbuke saa za dawa na tarehe za clinic.
Pesa utapewa za kuishi maisha unayotaka uonekane mjini. Sex kwake si kipaumbele, story mkipiga axnakumbuka 1977 Tanzania ilivyovamiwa na Nduli Idd Amin wakati wewe ulikuwa hujazaliwa.
Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop.
Sija refer mtu hapa msianze kutaja majina.
Watupe majibuIli Kuondoa Hii Sitofahamu Ya Nini Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Wanaume Ningeomba Uniwekee Vipao Mbele Vyenu Ili Wanaume Tujue Mapema.
Nasema Haya Kwa Sababu Si Ajabu Mwanamke Kumkataa Mume Tajiri Kisa Ana Kibamia Akidai Hamridhishi Kunako.
Upande Wa Pili Mume Masikini Akitoswa Na Mke Kisa Kikiwa Ni Umasikini Wake Hatakama Kitandani Yupo Vizuri.
Hivyo Sky Eclat Naomba Ufunguke Hapa Hivi Ni Nini Hasa Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Mwanaume??.
Na siajabu kifo kilisababishwa na viagra wala wewe hujui kumbe alitaka kukuonyesha kuwa na yeye ni kidume
Na mwanamke wa hivyo akiwa na mashost zake anawaambia "pale nimefuata pesa na sio mapenzi"Sijasema hicho ndio kipaumbele, usije ukajidanganya na wewe kuwa ' mwanaume tafuta pesa watajileta wenyewe'
Anakusingizia[emoji3][emoji3] nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda mwanaume anayenizidi miaka 6- 10Mi mke wangu nimemzidi 8yrs..huwa ananitania ananiita kibabu!
Kifupi ni kwamba anajiuzaNa mwanamke wa hivyo akiwa na mashost zake anawaambia "pale nimefuata pesa na sio mapenzi"
Nyie wanawake nyie