Changamoto ya kuolewa na mtu mzima mwenye pesa

Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda aliloea Ulaya na amerudi, mke wa kizungu amegoma kurudi.

Hapa 60+ kuna maradhi yasiyo ambukiza mengi sana. Ukiwa mrs inabidi ukumbuke saa za dawa na tarehe za clinic.

Pesa utapewa za kuishi maisha unayotaka uonekane mjini. Sex kwake si kipaumbele, story mkipiga axnakumbuka 1977 Tanzania ilivyovamiwa na Nduli Idd Amin wakati wewe ulikuwa hujazaliwa.

Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop.

Sija refer mtu hapa msianze kutaja majina.
Dah....,[emoji2960]
Cc: C9H804 f.y.i
 
tunapenda kusikilizwa,tunapenda kujaliwa,tunapenda kusaidiwa...
So kutiwa vizuri si kipaumbele? Rejea mleta mada kwamba moja ya vipaumbele muhimu ni ngono ya timbatimba ambayo kwa kibabu ni nadra japo siku hizi kuna visaidizi(vichocheo) vinavyowawezesha(nadhani wale hypertensive hii haiwahusu).
 
Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda aliloea Ulaya na amerudi, mke wa kizungu amegoma kurudi.

Hapa 60+ kuna maradhi yasiyo ambukiza mengi sana. Ukiwa mrs inabidi ukumbuke saa za dawa na tarehe za clinic.

Pesa utapewa za kuishi maisha unayotaka uonekane mjini. Sex kwake si kipaumbele, story mkipiga axnakumbuka 1977 Tanzania ilivyovamiwa na Nduli Idd Amin wakati wewe ulikuwa hujazaliwa.

Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop.

Sija refer mtu hapa msianze kutaja majina.
Umemsema nanilii kabisa
 
we we we ivi ushawai wauliza wadada waliowahi date wanaume wanaolala baada ya kupiz mara moja tuu au mbili!! alafu dushe inagoma kusimama tena yaan ata usogezee papuchi apo wapi!! aisee unaweza kulia apo bed yaan unamuangaliaaa unataman awe mtoto uchalaze viboko.mxeeew.
Wewe furaha yako ipo katikati ya paja zako kibabu hakikufai.
Kwa hasira hizo asubuhi nje kwako imepak vogi utaivunja wewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka kwenye story za 1977

Ila ukweli mtupu
 
Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda aliloea Ulaya na amerudi, mke wa kizungu amegoma kurudi.

Hapa 60+ kuna maradhi yasiyo ambukiza mengi sana. Ukiwa mrs inabidi ukumbuke saa za dawa na tarehe za clinic.

Pesa utapewa za kuishi maisha unayotaka uonekane mjini. Sex kwake si kipaumbele, story mkipiga axnakumbuka 1977 Tanzania ilivyovamiwa na Nduli Idd Amin wakati wewe ulikuwa hujazaliwa.

Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop.

Sija refer mtu hapa msianze kutaja majina.
We mdada sky eckat you seem to be very funny.I wish one day nikutane na wewe face to face.Nakupromise sitokutongoza katu.Please naomba Nile nafasi.Unsnifurahisha sana na posts zako.
 
Kuna wanawake mifano ya kuigwa na wanawake wenzao lakini sidhani kama utaweza kubadili mawazo ya wasichana wanaopenda kukuta kilakitu kimeandaliwa mezani badala ya kupika wao wenyew.
 
Back
Top Bottom